MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827

Mwimbaji Aubrey O'Day(35) amesema ndoto yake ni Barack Obama(57) aje kumchangia mbegu zake za kiume(sperm donor) ili apate mtoto, huku akimsifia Obama kuwa ni handsome, anayejielewa, mkarimu, mcheshi etc akiongeza kuwa ni sifa ambazo wanawake wengi wanazitaka Kwa mwanaume na ndio maana Obama amempata mwanamke wa aina yake yaani Michelle Obama