Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

Jela hana maisha marefu, walatino watamuua
 
Mbona msanii mwenyewe km Lokole type?? Au Anco T. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kitu gani kinachowafanya wasanii kutembea na watoto wadogo? Hii haina tofauti na changamoto ya R.kelly
sio wasanii tu hata matajiri, watoto wadogo wanaladha yao ukijaribu kuacha ni ngumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…