Mi nimefundisha bologna hapo mkuu, one of the ITALY historical varsity
Taratibu..... ndugu Mwigulu lameck madelu akisikia atakuhusisha na BRIGATE ROSSEMi nimekula sana Pizza za Agrigento mkuu wangu..nimekaa huko zaidi ya miaka saba kwa masomo ya Theolojia na Falsafa....BAADAE NIKAWAACHIA MAKANZU YAO NA KURUDI MTAANI...HUKO NIMECHAKAZA SANA,TOKA HUKO MPAKA CATANIA NA SICILY KOTE
Taratibu..... ndugu Mwigulu lameck madelu akisikia atakuhusisha na BRIGATE ROSSE
huyu demu nguo xake huwa hazin maaadili hata kama ni msaniii ni utumbo mtupu hawexi kuvaa vile amvaaavyo, pili huo ulevi aliouanxa bado samaki kugeuxwa tuu hata hapo hatuna uhakika kama amaki hajageuxwa na asipo jirekebisha atachambia nyembe xa jilet:A S 2152:
Mi nimekula sana Pizza za Agrigento mkuu wangu..nimekaa huko zaidi ya miaka saba kwa masomo ya Theolojia na Falsafa....BAADAE NIKAWAACHIA MAKANZU YAO NA KURUDI MTAANI...HUKO NIMECHAKAZA SANA,TOKA HUKO MPAKA CATANIA NA SICILY KOTE
Anajua yeye..........kama hajabakwa.
Ok, miss mwenye strong nimekuelewa
Nilifahamiana na mapadre na mafrateri wengi sana toka Tanzania, labda na wewe twafahamiana , walikuwa wanapiga roman canon law bologna univ.
Ha ha ha.....hapo hakuna kesi maana aliyefanyiwa hicho kitendo kama ni kwel,amekataa.
Mkuu itakuwa...umekaa miak gani?najua Bologna ni kati ya vyuo vikongwe sana,hata timu yao ya mpira ni ya muda sana...nimekaa sana huko sana,mpaka nhkawa naongea Ki-sicily cha ndani kbsa,kiasi nikikutana na Mtaliano wa Kaskazini huku Milan tunatofautiana matamshi
Astaghfirulah,,,mkuu mwezi wote huu unataka kuangalia Nyuchi?
Kama hajabakwa kagongwa
Its sad kuona watu wanamshangilia mbakaji na kumbeza aliyebakwa
Mwimbaji Linah Sanga amesema habari zinazoenezwa kwamba amebakwa baada ya kulewa sio za kweli kwasababu anasiku ya tatu Ajatoka Nyumbani.
Source: Millardayo.com
Mi nimekula sana Pizza za Agrigento mkuu wangu..nimekaa huko zaidi ya miaka saba kwa masomo ya Theolojia na Falsafa....BAADAE NIKAWAACHIA MAKANZU YAO NA KURUDI MTAANI...HUKO NIMECHAKAZA SANA,TOKA HUKO MPAKA CATANIA NA SICILY KOTE
SICILY
Miaka 7 yote! Kwa nini hukusepa baada ya cert. philosophy ? au ulinogewa na pizza?
Mtaani wapi saivi mkuu? Ila itabidi ufanye toba ya kutosha maana mambo ya imani ni mazito! Nadhani utakuwa umesikia mengi sana ya wale waliokacha hiyo njia!@barafu
Ha ha ha ha umenikumbusha mwambao wa bahari ya Mediteranio wakati wa Summer,ni bikini na boksa tu mkuu....Pizza zenye Chachandu ya Pomodori ni balaaa..kuhusu kuacha ni makubaliano ya kiroho tu kati yangu na Mungu,ukiwa ujajiandaa utapata shida...lakn ukiweka nia,novena na ukanuia basi ni murua...unajua kule wakati huo unakabidhiwa kwa familia ya huko na unakuwa sehemu ya familia hiyo,sasa mimi my spiritual father aliniandaa sana so baada ya kubeba vyeti vyangu nikawapa kanzu na mkanda nikajongea kwa mataifa....Kwa Afrika ni rahisi kuchanganyikiwa sbb huandaliwi sana kisaikolojia