MWIMBAJI LINAH SANGA ; Sio Kweli Nilibakwa Baada Ya Kulewa

Mi nimefundisha bologna hapo mkuu, one of the ITALY historical varsity

Mi nimekula sana Pizza za Agrigento mkuu wangu..nimekaa huko zaidi ya miaka saba kwa masomo ya Theolojia na Falsafa....BAADAE NIKAWAACHIA MAKANZU YAO NA KURUDI MTAANI...HUKO NIMECHAKAZA SANA,TOKA HUKO MPAKA CATANIA NA SICILY KOTE
 
  • Thanks
Reactions: PhD

Taratibu..... ndugu Mwigulu lameck madelu akisikia atakuhusisha na BRIGATE ROSSE
 
huyu demu nguo xake huwa hazin maaadili hata kama ni msaniii ni utumbo mtupu hawexi kuvaa vile amvaaavyo, pili huo ulevi aliouanxa bado samaki kugeuxwa tuu hata hapo hatuna uhakika kama amaki hajageuxwa na asipo jirekebisha atachambia nyembe xa jilet:A S 2152:

Mkuu unaandika nn sasa. Hizi "x" ndio nini? Kwa haraka haraka wanaoandika x wako kwenye makundi yafuatayo:
1. Form four waliofeli
2. Baada ya kufeli matokeo yakarekebishwa na bado alifeli
3. Huna ishu mjini
4. Hujitambui na ni zoba
 
Its sad kuona watu wanamshangilia mbakaji na kumbeza aliyebakwa
 
Mi nimekula sana Pizza za Agrigento mkuu wangu..nimekaa huko zaidi ya miaka saba kwa masomo ya Theolojia na Falsafa....BAADAE NIKAWAACHIA MAKANZU YAO NA KURUDI MTAANI...HUKO NIMECHAKAZA SANA,TOKA HUKO MPAKA CATANIA NA SICILY KOTE

Nilifahamiana na mapadre na mafrateri wengi sana toka Tanzania, labda na wewe twafahamiana , walikuwa wanapiga roman canon law bologna univ.
 
Mkuu itakuwa...umekaa miak gani?najua Bologna ni kati ya vyuo vikongwe sana,hata timu yao ya mpira ni ya muda sana...nimekaa sana huko sana,mpaka nhkawa naongea Ki-sicily cha ndani kbsa,kiasi nikikutana na Mtaliano wa Kaskazini huku Milan tunatofautiana matamshi
 
Ha ha ha.....hapo hakuna kesi maana aliyefanyiwa hicho kitendo kama ni kwel,amekataa.

Daah izo ndo negative effects za kuwa public figure katika nchi local kama Tanzania , kama kweli kafanyiwa ivo ni kitu cha kupingwa kwa hasira zote kwan mavaz sio sababu ya msing ya kukufanya mtu uvunje sheria ndo maana binadamu tumepewa utashi, kama umempenda bora umtokee, na kama ni kweli atakua kaathirika kisaikologia yule dada
 
Mkuu itakuwa...umekaa miak gani?najua Bologna ni kati ya vyuo vikongwe sana,hata timu yao ya mpira ni ya muda sana...nimekaa sana huko sana,mpaka nhkawa naongea Ki-sicily cha ndani kbsa,kiasi nikikutana na Mtaliano wa Kaskazini huku Milan tunatofautiana matamshi

Nita ku PM mkuu hapa hadharani haya ni yetu
 
Hivi mtu kama kazoea kamchezo ka kikubwa atakuwa kabakwa au ni suprise ya kugegedwa tuu... afu watu kwa umbea samahani Lakiniii nauliza tuu.
 
Great CbnLakini kwa nini alilewa pombe? Ila tuhesabu siku, tukiona kijitumbo tu ujue tayari kitu kimo(i.e kijusi) ndani.

Mwimbaji Linah Sanga amesema habari zinazoenezwa kwamba amebakwa baada ya kulewa sio za kweli kwasababu anasiku ya tatu Ajatoka Nyumbani.

Source: Millardayo.com
 
data=VLHX1wd2Cgu8wR6jwyh-km8JBWAkEzU4,rmYKz0-sAQyHQn3hDz1yzXzvEObD7AIxlFBS1K-jXNaO013GrYVeZQ0gbrFfsp6VGLFNiYs6nVGNQ6GGsgMDIwcwL4ZFkaJT841oLcHZu9-vPg08YqW993VpW4mESzeHvivYJ7s-SFbf2SzP15lQkyFyF8Soipm2AZ0Urgf0Vk0C5iPz55wT31Q6Mn6oiUZb-R6kRLw
images

SICILY

Miaka 7 yote! Kwa nini hukusepa baada ya cert. philosophy ? au ulinogewa na pizza?
Mtaani wapi saivi mkuu? Ila itabidi ufanye toba ya kutosha maana mambo ya imani ni mazito! Nadhani utakuwa umesikia mengi sana ya wale waliokacha hiyo njia!@barafu

Mi nimekula sana Pizza za Agrigento mkuu wangu..nimekaa huko zaidi ya miaka saba kwa masomo ya Theolojia na Falsafa....BAADAE NIKAWAACHIA MAKANZU YAO NA KURUDI MTAANI...HUKO NIMECHAKAZA SANA,TOKA HUKO MPAKA CATANIA NA SICILY KOTE
 
data=VLHX1wd2Cgu8wR6jwyh-km8JBWAkEzU4,rmYKz0-sAQyHQn3hDz1yzXzvEObD7AIxlFBS1K-jXNaO013GrYVeZQ0gbrFfsp6VGLFNiYs6nVGNQ6GGsgMDIwcwL4ZFkaJT841oLcHZu9-vPg08YqW993VpW4mESzeHvivYJ7s-SFbf2SzP15lQkyFyF8Soipm2AZ0Urgf0Vk0C5iPz55wT31Q6Mn6oiUZb-R6kRLw
images

SICILY

Miaka 7 yote! Kwa nini hukusepa baada ya cert. philosophy ? au ulinogewa na pizza?
Mtaani wapi saivi mkuu? Ila itabidi ufanye toba ya kutosha maana mambo ya imani ni mazito! Nadhani utakuwa umesikia mengi sana ya wale waliokacha hiyo njia!@barafu

Ha ha ha ha umenikumbusha mwambao wa bahari ya Mediteranio wakati wa Summer,ni bikini na boksa tu mkuu....Pizza zenye Chachandu ya Pomodori ni balaaa..kuhusu kuacha ni makubaliano ya kiroho tu kati yangu na Mungu,ukiwa ujajiandaa utapata shida...lakn ukiweka nia,novena na ukanuia basi ni murua...unajua kule wakati huo unakabidhiwa kwa familia ya huko na unakuwa sehemu ya familia hiyo,sasa mimi my spiritual father aliniandaa sana so baada ya kubeba vyeti vyangu nikawapa kanzu na mkanda nikajongea kwa mataifa....Kwa Afrika ni rahisi kuchanganyikiwa sbb huandaliwi sana kisaikolojia
 
Mkuu barafu, bora ulivyojitoa huko, inaonekana ww hukuwa miongon mwao wateuliwa, ila sijakuelewa ulivyosema ulikuwa familia yao, hiyo familia ni ya watu wanaojitoa ili wapewe somo wasije kuchang'anyikiwa baadae au vp, naomba unieleweshe hapo.
 
Back
Top Bottom