MWIMBAJI LINAH SANGA ; Sio Kweli Nilibakwa Baada Ya Kulewa

Mkuu barafu, bora ulivyojitoa huko, inaonekana ww hukuwa miongon mwao wateuliwa, ila sijakuelewa ulivyosema ulikuwa familia yao, hiyo familia ni ya watu wanaojitoa ili wapewe somo wasije kuchang'anyikiwa baadae au vp, naomba unieleweshe hapo.

Kweli Mkuu sikuwa tayali na Bwana hakupendezwa nami ili niijongee Altare yake takatifu...mana wanasema..."Waitwao ni wengi,ila wateuliwao ni wachache...Kazi ya bwana hufanyika"....Nilitikia sauti ya bwana,lakin hakuniteua kuwa miongoni mwa wateule wake!Hata katika wale makutano elfu na zaidi waliokuwa wakimsikiliza..Yesu aliwateua 12 tu...Thats why there are Apostles and Desciples!! I am still a commited Disciples.....Kuhusu familia,ukiwa kule mkuu,unapewa familia ya kuishi nayo..ili usijione mpweke na mtu kama mkiwa!!so ile familia unakuwa sehemu yao...unakaa nao na kuishi nao...UMENIPATA?
 
.......................bado majanga tu,,.............
 

Nimekupata mkuu! Ila usitugeuke tu, ukaingia mlengo wa kushoto!
 
Hivi watu huwa hawaoni aibu kujadili mada tofauti na uzi uliopo? Huu uzi unazungumzia ishu ya Lina lakini mijitu inajadili mambo yao tofauti.
 
Hivi watu huwa hawaoni aibu kujadili mada tofauti na uzi uliopo? Huu uzi unazungumzia ishu ya Lina lakini mijitu inajadili mambo yao tofauti.

Pole na samahani kama tumekukwaza!haikuwa nia na kusudi ya kuandika hayo ili kumkasilisha mtu,mana imeandikwa "Ole wake yeye awakwazaye hawa wakaingia majaribuni..mana ni heri kwake akafungwa jiwe na kutupwa ktk kilindi cha bahari"...Utusamehe mimi na wengine tuliokusababishia makwazo!usichukie na kugadhabika...maana gadhabu ni rafiki wa shetani...Back to the Topic
 
So watu wote wanaokunywa pombe wake kwa waume wana deserve kubakwa?
 
huyu mama naye anatangatanga mno si abebe mimba atulie?
 
Its sad kuona watu wanamshangilia mbakaji na kumbeza aliyebakwa

So sad, tuna janga la jopo la wanafikuna.

Ingekuwa ni Jide amekutwa na masahibu hayo ungeona msururu machozi ya mamba.

Kama mwanao amepatwa na adha kama hii utashehereka kwa vile tu amekuwa mtukutu ?

Kesho mtu huyo huyo utamkuta jukwaani anajinadi eti nchi haiheshimu haki za binadamu, sasa sijui wewe upo kundi gani kwa kumshangilia huyo anayevunjia wenzake hizo haki zao.....GREAT THINKERS....
 
Mwimbaji Linah Sanga amesema habari zinazoenezwa kwamba amebakwa baada ya kulewa sio za kweli kwasababu anasiku ya tatu Ajatoka Nyumbani.

Source: Millardayo.com




So alibakwa kabla hajalewa?
 
Adhabu kali wanastahili waliohusika kwenye vitendo hivyo vya kinyama endapo mwenyewe atakubali kua kafanyiwa,lakini vile vile mungu alipowataka wanawake kujistiri kwa kuhifadhi maungo yao alikua na maana yake mwili wa mwanamke ameuumba kwa jinsi yake asilimia kubwa unatamanisha tu,na nidhahiri kua msichana linah nikati ya wasichana wanaotembea uchi uvaaje wake naweza kusema si nusu uchi bali ni uchi kamili na kwahilo lililomtokea huenda ndio njia pekee iliyompasa kuendana na maneno ya mungu,mwisho nakupa pole sana dada mrembo linah kwayaliyokukuta!tujenge taifa letu kwa maadili mema na uvaaji ni moja pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…