barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Mkuu barafu, bora ulivyojitoa huko, inaonekana ww hukuwa miongon mwao wateuliwa, ila sijakuelewa ulivyosema ulikuwa familia yao, hiyo familia ni ya watu wanaojitoa ili wapewe somo wasije kuchang'anyikiwa baadae au vp, naomba unieleweshe hapo.
Kweli Mkuu sikuwa tayali na Bwana hakupendezwa nami ili niijongee Altare yake takatifu...mana wanasema..."Waitwao ni wengi,ila wateuliwao ni wachache...Kazi ya bwana hufanyika"....Nilitikia sauti ya bwana,lakin hakuniteua kuwa miongoni mwa wateule wake!Hata katika wale makutano elfu na zaidi waliokuwa wakimsikiliza..Yesu aliwateua 12 tu...Thats why there are Apostles and Desciples!! I am still a commited Disciples.....Kuhusu familia,ukiwa kule mkuu,unapewa familia ya kuishi nayo..ili usijione mpweke na mtu kama mkiwa!!so ile familia unakuwa sehemu yao...unakaa nao na kuishi nao...UMENIPATA?