Tukizidiwa tunayamwaga humu humu, watukamatege tu, kwani jela wanakaa mbuzi nfyuuuu
View attachment 240632
List ni ndefu sana kuna wengine wakitajwa hapa patachimbika.
Duh ila sheria inasema ukiweka tu picha ya mtu na nini na nini jela miezi 6 au milioni 3 au vyote kwa pamoja tehe tehee serikali iongeze idadi ya magereza
View attachment 240632
List ni ndefu sana kuna wengine wakitajwa hapa patachimbika.
Duh ila sheria inasema ukiweka tu picha ya mtu na nini na nini jela miezi 6 au milioni 3 au vyote kwa pamoja tehe tehee serikali iongeze idadi ya magereza
LOH!! MWenzangu umbea mtamu, wanilipue tu apa mwenzangu
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kabla na Baada[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....
Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:
shalifanuhu
Wao umenaga
ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa
anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol
amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.
mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
Mwanaume dudu, sura hata bata mzinga anayo😀😛
Unatakaje labda shoga mwenzangu?
Kwa hatua aliyofikia amejitoa kwenye kundi la wanaume....
Funguka bhana, kwani inahuu? Jiachie binamu wapenda nini kunako sita kwa sita? Umbea tuweke pembeni kidogo maana sheria ishapitishwa kuanzia sasa ukikamatwa miaka 9 jela au faini ya mil 3,aya nazinyea wapi warumi mie? LEo elfu mbili tu ya kwenda coco imenishinda
Binamu umbea wote nitapiga ila sio kuanika mambo yangu ya faragha hadharani hata siku moja.Hiyo itabaki siri yangu na shemejio tu.
Mwanamke stara bwana.
Dudu hata punda anayo
Siku ukikamatwa ndio utajua wanakaa mbuzi au mende we huoni Gwajima alizimiàa
Presha inapanda na kushukaaaa
List ya nani tena?
Dudu hata punda anayo
We nae, mwanamke kuropoka siri za ndani au hujui? Ndo fashen siku iz ooh