SI KWELI Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Bonny Mwaitege afariki dunia katika ajali ya barabarani

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
I wish iwe ni taarifa ya uongo!! Jamaa nyimbo zake nyingi zilikuwa zina ujumbe muhimu sana kwa jamii. Pigo kubwa sana hili.
Mungu ni mwema. Na ataishi maisha marefu sana! Badala yake hawa waliomzushia ndiyo liwapate la kuwapata! Pambafu zao!
 
Mi ndio maana huwa namshangaa Mungu watu wake tena wanaomtumikia anakaushia mpaka wanapata ajari mi hata sielewi yaani.
 
Hizo tabia zakuzusha kwamba mwimbaji wetu kafariki iwe mwanzo na mara ya mwisho maana sio tabia nzuri kiuhalisia kabisa kuzungumza hayo maswala wakati bado yuu hai
GOD bless you bony mwaitege endelea kutuhubilia kwa njia ya nyimbo.Ameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…