Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

Vile vile fanbase ya uganda imekuwa confused na hii nigerian wave na hii imewakatisha tamaa artists wa uganda na kupunguza biashara yao. Ila nakubaliana nawe kwamba uganda wapo mbele kuliko sisi kwenye chain yote kuanzia production, videos mpaka sponsorship.
 
Viota vyao vingi k'la vipo sehemu inaitwa Ntinda, Kansaanga na Bugolobi.
Nadhani waganda wanaongoza ku party kwenye ukanda huu.
 
Kuna wale wanaitwa bluce 3
 

Good na wewe umeona hilo. Waganda kwenye production haswa videoz hatuwagusi
 
Tindatine. Ni wimbo naweza uimba hata nikiwa usingizini bila kukosea hata neno moja.🥰

Akishiki aka kaboniire munonga
 
Uganda na mauno wanajua. katereroh kwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…