Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Vile vile fanbase ya uganda imekuwa confused na hii nigerian wave na hii imewakatisha tamaa artists wa uganda na kupunguza biashara yao. Ila nakubaliana nawe kwamba uganda wapo mbele kuliko sisi kwenye chain yote kuanzia production, videos mpaka sponsorship.mbona waganda bado wapo hot sema tu siku hizi hakuna acts wakubwa wanaoimba lugha zinazoeleweka bongo kama zamani mfano Goodlife, Jackie chandiru, Blue 3, Chameleon
Ila bado wapo vizuri kwenye production ya muziki wao haswa quality videoz na pia wana acts kama Eddy Kenzo, Azawi, sheebah etc ambao bado wanahit East Africa nzima