MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Yaani Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga SC anajua kabisa kuwa hana hata Namba Yanga SC hii yenye Majembe tupu na Msimu uliopita kama kuna Mechi ya Ligi aliyocheza basi ni Moja na hata za Kirafiki pia kacheza chache cha Kushangaza Jana ameongeza tena Mkataba wa Miaka miwili zaidi kuendelea Kuozea Benchi Yanga SC.
Nimesikitika mno kwakuwa kwa Uwezo wa Beki Shaibu Ninja nina uhakika angeachana na Yanga SC na kwenda Azam FC au Geita Gold FC au Namungo FC au Singida Stars FC na hata Simba SC angekuwa na Namba ya kudumu na angecheza, ila kachagua kubakia Kuozea Benchi Yanga SC huku akila Mahela ya GSM na Kukimaliza kabisa Kiwango chake.
Wachezaji wa Kitanzania wanahitaji mno Elimu ili Kubadilika Kifikra na Kimtazamo lakini hata Wanaowasimamia (Managers) wao wanatakiwa kuwa ni Watu makini na wenye Upeo wa Kimaendeleo na Uthubutu.