Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Punguza povu maisha ni yake na maamuzi ya maisha yake anayajua yeye kwann unateseka na kuandika maneno meng wakat hayakuhusu ebu jipunguzie mambo ya kuweka kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na wewe mzee mwenzangu, michezaji ya kibongo kwao ni simba na yanga tuuuYaani Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga SC anajua kabisa kuwa hana hata Namba Yanga SC hii yenye Majembe tupu na Msimu uliopita kama kuna Mechi ya Ligi aliyocheza basi ni Moja na hata za Kirafiki pia kacheza chache cha Kushangaza Jana ameongeza tena Mkataba wa Miaka miwili zaidi kuendelea Kuozea Benchi Yanga SC.
Nimesikitika mno kwakuwa kwa Uwezo wa Beki Shaibu Ninja nina uhakika angeachana na Yanga SC na kwenda Azam FC au Geita Gold FC au Namungo FC au Singida Stars FC na hata Simba SC angekuwa na Namba ya kudumu na angecheza, ila kachagua kubakia Kuozea Benchi Yanga SC huku akila Mahela ya GSM na Kukimaliza kabisa Kiwango chake.
Wachezaji wa Kitanzania wanahitaji mno Elimu ili Kubadilika Kifikra na Kimtazamo lakini hata Wanaowasimamia (Managers) wao wanatakiwa kuwa ni Watu makini na wenye Upeo wa Kimaendeleo na Uthubutu.