Mwina Kaduguda aliposema kuwa Michezaji mingi ya Tanzania Mimbumbu alikuwa sahihi sana

Punguza povu maisha ni yake na maamuzi ya maisha yake anayajua yeye kwann unateseka na kuandika maneno meng wakat hayakuhusu ebu jipunguzie mambo ya kuweka kichwani
 
Naungana na wewe mzee mwenzangu, michezaji ya kibongo kwao ni simba na yanga tuuu
 
Et hata simba anaweza kuwa na namba ya kudumu endapo atasajiliwa (pumbafu!!!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…