Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
"Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu."

"Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)"

"Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki wa Simba Mbumbumbu"

©️ Mwina Seif Kaduguda
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC.
 
Heri ya mbumbumbu kuliko nyani mbwa mnabweka bweka hovyo
Hamjui kitu mnazomea zomea tu wazeewa bakuli
 
Hivi anayeamua mstakabali wa timu no shabiki au wanachama, yeye ndio mbumbumbu ndio maana Hadi mke wake anampiga.
Yeye si ndio alikuwa anadai pesa za chapati, Taswa alikula pesa za rambirambi au anafikiri watu hawamjui vizuri.
Dah, nakumbuka vizuri, ilikua June 2005 nafikiri akawa analalamika hela zake (Elfu 5) aliyowanunulia wachezaji chapati....

Ila 5imba!!
 
Back
Top Bottom