Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

Hivi anayeamua mstakabali wa timu no shabiki au wanachama, yeye ndio mbumbumbu ndio maana Hadi mke wake anampiga.
Yeye si ndio alikuwa anadai pesa za chapati, Taswa alikula pesa za rambirambi au anafikiri watu hawamjui vizuri.
Jibu hoja,badala ya kufungua mafaili ya watu,Kila mtu ana faili lake,huenda la kwako chafu Kuliko lake.hata Mashabiki wasiangalia burudani,wachukue uanachama na kuwa na katiba bora.nchi hii Kwa ishu za Katiba,Mbumbumbu ni asilia nyingi.
 
Kuna hilo moja liko humu nadhani ndilo litakuwa KUBWA LA MA-MBUMBUMBU
 
Heri ya mbumbumbu kuliko nyani mbwa mnabweka bweka hovyo
Hamjui kitu mnazomea zomea tu wazeewa bakuli
We jamaa una machungu sana, Simba yako my wetu ni mdebwedo, jumba bovu lililoanguka chini ya Mangungo!! Simba ni underdog kwasasa!! Msimu ujao utaumia zaidi Mkuu !

Mi nilichojifunza bweka bweka kama za nyani na mbwa za mashabiki ndo zinajaza makombe Yanga, Aziz Ki amesema kelele za mashabiki wa Yanga ndo zinampa mzuka sana!!

Hebu cheki Pacome anavyosifiwa na kuimbwa na mashabiki na jinsi anavyoupiga mwingi, yaani mashabiki wa Yanga kwa furaha tuliyonayo inatakiwa tubweke zaidi msimu ujao kama tumbili, nyani, mbwa na paka, mimi ni mmojawao wanaobweka kama nyani!!
 
Sawa bweka vipo vya kuumiza ila sio mpira bwana mdogo
Mpira kwangu ni burudani shauri yako
Utopwinyo
 
Back
Top Bottom