Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
milembe......iwe kumbukumbu kwa mambumbumbuHuyu sanamu lake tunamjengea wapi?😄😄
Teh teh tehHuyu sanamu lake tunamjengea wapi?😄😄
Naona Kaduguda na yeye ameamua kutuongezea gharama ya kujenga sanamu la pili la kumbukumbu, baada ya lile la Rage; 😁Huyu sanamu lake tunamjengea wapi?😄😄
Hahahahaha kaduguda au Rage ? Sitaki kuamini kuwa na wewe ni mmoja waoHamjasema bado...
Hivi kwann viongozi wenu wanawaita mbumbumbu?Hamjasema bado...
Heri ya mbumbumbu kuliko nyani mbwa mnabweka bweka hovyo"Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu."
"Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)"
"Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki wa Simba Mbumbumbu"
©️ Mwina Seif Kaduguda
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC.
Tunasubiri wana 5nga mfanye kitu kama kwa nchungaWana5imba mfanye kitu, mtatukanwa mpaka lini?
Kule BunjuHuyu sanamu lake tunamjengea wapi?😄😄
Dah, nakumbuka vizuri, ilikua June 2005 nafikiri akawa analalamika hela zake (Elfu 5) aliyowanunulia wachezaji chapati....Hivi anayeamua mstakabali wa timu no shabiki au wanachama, yeye ndio mbumbumbu ndio maana Hadi mke wake anampiga.
Yeye si ndio alikuwa anadai pesa za chapati, Taswa alikula pesa za rambirambi au anafikiri watu hawamjui vizuri.