Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

Dah, nakumbuka vizuri, ilikua June 2005 nafikiri akawa analalamika hela zake (Elfu 5) aliyowanunulia wachezaji chapati....

Ila 5imba!!
Ameshachalala anatafuta namna ya kurudi, historia yake inajulikana vizuri, ni kocha ambaye hajawahi kufundisha timu
 
Sisi Utopolo tunaungana na Mhina ktk hili
 
Umemshambulia mtoa mada baada ya kushambulia Mada.

Anapigwa na mkewe, kala hela za rambirambi, alikuwa anadai hela za chapati.. Hili ni povubkama huuljui

Au wewe ni katika hao Mbumbumbu mmeguswa Mhina?
Naona imekuuma kutoa Siri zako mtu wa hoja za hovyo naye anapewa majibu yanayofanana na tabia zake
 
Ni mashabiki wote tu wa Simba na Yanga. Ni mbumbumbu ndiyo maana walishangilia milioni 5 kutoka kwa TWICE wa FIRST FAMILY kwa kila goli la Yanga na Simba michuano ya Afrika. Jinga sana hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…