OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
hiyo nayo ni hoja,kuna mtu ana shaka na usimba wa Kaduguda?sema Yanga mmezoea kufitini kama.kina mamaTunataka siku hiyo Uwanja wote ujae kijani na njano
😂😂😂 Simba wa Yuda anaipenda Yanga yetu kiaina
mnyalukolo utamjua tuu, kuna mwingine yeye kutamka TUICO anatamka TWIKO...Hivi ni Mwina au Mhina? [emoji2369]
😂😂Tunataka siku hiyo Uwanja wote ujae kijani na njano
😂😂😂 Simba wa Yuda anaipenda Yanga yetu kiaina
hiyo nayo ni hoja,kuna mtu ana shaka na usimba wa Kaduguda?sema Yanga mmezoea kufitini kama.kina mama
Kuna kipindi aliwadai hela za chapati alizokuwa anawanunulia wachezaji kambini.Ukitaka kujua Simba ni mbumbumbu ni kitendo Cha kumpa uongozi kaduguda, kaduguda kunakipindi alikua kiongozi pale Simba, wanachama walipo amua kumtimua kutokana na utendaji mbovu aliamua kuondoka na vifaa vyote vya mazoezi vya klabu ya Simba kuanzia mipira, koni, nyavu n.k akidai klabu ya Simba imrudishie fedha zake zote alizo wanunulia wachezaji chapati na chai.
Chakushangaza saaiz ni kaimu Mwenyekiti wa klabu anaye tarajiwa kuwa Mwenyekiti kamili baada ya uchaguzi.
🤣🤣🤣Kuna kipindi aliwadai hela za chapati alizokuwa anawanunulia wachezaji kambini.
😂😂😂maisha yanaenda kasi sana
Huyo Kaduguda akiwa katibu mkuu simba ilitwaa ubingwa wa ligi kuu bara bila kufungwaUkitaka kujua Simba ni mbumbumbu ni kitendo Cha kumpa uongozi kaduguda, kaduguda kunakipindi alikua kiongozi pale Simba, wanachama walipo amua kumtimua kutokana na utendaji mbovu aliamua kuondoka na vifaa vyote vya mazoezi vya klabu ya Simba kuanzia mipira, koni, nyavu n.k akidai klabu ya Simba imrudishie fedha zake zote alizo wanunulia wachezaji chapati na chai.
Chakushangaza saaiz ni kaimu Mwenyekiti wa klabu anaye tarajiwa kuwa Mwenyekiti kamili baada ya uchaguzi.
MwinaHivi ni Mwina au Mhina? [emoji2369]
Nyie hata kocha wenu alisema hamna elimu mko kama kima kazi yenu kuzomea zomea tu. Kavaeni vijola kwanza kima nyieUkitaka kujua Simba ni mbumbumbu ni kitendo Cha kumpa uongozi kaduguda, kaduguda kunakipindi alikua kiongozi pale Simba, wanachama walipo amua kumtimua kutokana na utendaji mbovu aliamua kuondoka na vifaa vyote vya mazoezi vya klabu ya Simba kuanzia mipira, koni, nyavu n.k akidai klabu ya Simba imrudishie fedha zake zote alizo wanunulia wachezaji chapati na chai.
Chakushangaza saaiz ni kaimu Mwenyekiti wa klabu anaye tarajiwa kuwa Mwenyekiti kamili baada ya uchaguzi.
Huyo jina lake ni Mwina Seif Kadugudamnyalukolo utamjua tuu, kuna mwingine yeye kutamka TUICO anatamka TWIKO...