Mwina Seif Kaduguda Simba wa Yuda tunakwenda kukuchukulia fomu ya Uenyekiti Simba Sc

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    28.3 KB · Views: 1
Nyie hata kocha wenu alisema hamna elimu mko kama kima kazi yenu kuzomea zomea tu. Kavaeni vijola kwanza kima nyieView attachment 1648154
Mbona kocha wenu mlivyomtimua aliwaambia kama hivyo au kwasababu umbumbumbu wa elimu ndio mlishindwa kutafsiri. Timu ndani ya miaka 10 inaendeshwa na watu wasiokuwa na elimu hata form 4 leo hii mnajiona mmesoma!
 
Mwambie yeye aseme elimu yake na aweke ushahidi.
 
Back
Top Bottom