Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Kaduguda ni "sanamu" la Mo. Hatoweza kusimamia 51% shares za club ya Simba. Atafutwe mtu wa kumuweka sawa Mo! Sio hawa aina bwana "NDIYO"!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kwenu manguruweNyie hata kocha wenu alisema hamna elimu mko kama kima kazi yenu kuzomea zomea tu. Kavaeni vijola kwanza kima nyieView attachment 1648154
Mbona kocha wenu mlivyomtimua aliwaambia kama hivyo au kwasababu umbumbumbu wa elimu ndio mlishindwa kutafsiri. Timu ndani ya miaka 10 inaendeshwa na watu wasiokuwa na elimu hata form 4 leo hii mnajiona mmesoma!Nyie hata kocha wenu alisema hamna elimu mko kama kima kazi yenu kuzomea zomea tu. Kavaeni vijola kwanza kima nyieView attachment 1648154
Mwambie yeye aseme elimu yake na aweke ushahidi.Mbona kocha wenu mlivyomtimua aliwaambia kama hivyo au kwasababu umbumbumbu wa elimu ndio mlishindwa kutafsiri. Timu ndani ya miaka 10 inaendeshwa na watu wasiokuwa na elimu hata form 4 leo hii mnajiona mmesoma!