Mwina Seif Kaduguda Simba wa Yuda tunakwenda kukuchukulia fomu ya Uenyekiti Simba Sc

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20201211_220410177778.jpg
 
Tunataka siku hiyo Uwanja wote ujae kijani na njano

😂😂😂 Simba wa Yuda anaipenda Yanga yetu kiaina
 
hiyo nayo ni hoja,kuna mtu ana shaka na usimba wa Kaduguda?sema Yanga mmezoea kufitini kama.kina mama
 
Ukitaka kujua Simba ni mbumbumbu ni kitendo Cha kumpa uongozi kaduguda, kaduguda kunakipindi alikua kiongozi pale Simba, wanachama walipo amua kumtimua kutokana na utendaji mbovu aliamua kuondoka na vifaa vyote vya mazoezi vya klabu ya Simba kuanzia mipira, koni, nyavu n.k akidai klabu ya Simba imrudishie fedha zake zote alizo wanunulia wachezaji chapati na chai.
Chakushangaza saaiz ni kaimu Mwenyekiti wa klabu anaye tarajiwa kuwa Mwenyekiti kamili baada ya uchaguzi.
 
Kuna kipindi aliwadai hela za chapati alizokuwa anawanunulia wachezaji kambini.
 
Ukitaka kujua Simba ni mbumbumbu ni kitendo Cha kumpa uongozi kaduguda, kaduguda kunakipindi alikua kiongozi pale Simba, wanachama walipo amua kumtimua kutokana na utendaji mbovu aliamua kuondoka na vifaa vyote vya mazoezi vya klabu ya Simba kuanzia mipira, koni, nyavu n.k akidai klabu ya Simba imrudishie fedha zake zote alizo wanunulia wachezaji chapati na chai.
Chakushangaza saaiz ni kaimu Mwenyekiti wa klabu anaye tarajiwa kuwa Mwenyekiti kamili baada ya uchaguzi.
Huyo Kaduguda akiwa katibu mkuu simba ilitwaa ubingwa wa ligi kuu bara bila kufungwa
 
Ukitaka kujua Simba ni mbumbumbu ni kitendo Cha kumpa uongozi kaduguda, kaduguda kunakipindi alikua kiongozi pale Simba, wanachama walipo amua kumtimua kutokana na utendaji mbovu aliamua kuondoka na vifaa vyote vya mazoezi vya klabu ya Simba kuanzia mipira, koni, nyavu n.k akidai klabu ya Simba imrudishie fedha zake zote alizo wanunulia wachezaji chapati na chai.
Chakushangaza saaiz ni kaimu Mwenyekiti wa klabu anaye tarajiwa kuwa Mwenyekiti kamili baada ya uchaguzi.
Nyie hata kocha wenu alisema hamna elimu mko kama kima kazi yenu kuzomea zomea tu. Kavaeni vijola kwanza kima nyie
FB_IMG_1598022191549.jpg
 
Back
Top Bottom