Ukitupa jiwe kwenye kundi la watu na ukasikia mtu analia basi ujue huyo ndiye limempata
Unakuwa kama sio great thinker bwana yaani hujamuelewa!!Mbona mfano wako haufanani na chochote hapa, umeishia darasa la ngapi wewe? maana hapa watu wanajibishana kwa hoja sasa wewe unafananishaje hapo? pmbf
Binafsi sina utaalamu sana wa mistari ya vitabu vya dini....ila ninachokiona toka kwako dada Judith ni kuwa unaonekana ulokole umekuingia sana kiimani. Hata jana niliisoma topic yako ya kumpinga Babu na nikaipotezea.....lakini nashukuru kunawatu walikujibu vizuri sana na walikuuliza maswali kadha wa kadha ambayo hukuwajibu kiufasaha....Dada Judith,kila kitu ni imani....hao unaowaona wanaenda kwa babu wanaimani ya kupona kama wewe ulivyo na imani na makanisa hayo ya BORN AGAIN. Mfano mimi binafs naamini makanisa yote haya ya BORN AGAIN ni wizi mtupu....people ar just doing busness there and nothing moo! Kwahiyo kwangu mimi ni Bora niende kwa Babu kuliko kwenye hayo makanisa yenu ya kitapeli.....yaani hata uniubirie nini kwa kunipa mistari...sidanganyiki ng'o....nitabaki na RC yangu till i die.si sahihi kuhalalisha ya babu kwa vile wengine pia kama kakobe, mwingira nk nao wanafanya. tupeni support ya kimaandiko please
Binafsi sina utaalamu sana wa mistari ya vitabu vya dini....ila ninachokiona toka kwako dada Judith ni kuwa unaonekana ulokole umekuingia sana kiimani. Hata jana niliisoma topic yako ya kumpinga Babu na nikaipotezea.....lakini nashukuru kunawatu walikujibu vizuri sana na walikuuliza maswali kadha wa kadha ambayo hukuwajibu kiufasaha....Dada Judith,kila kitu ni imani....hao unaowaona wanaenda kwa babu wanaimani ya kupona kama wewe ulivyo na imani na makanisa hayo ya BORN AGAIN. Mfano mimi binafs naamini makanisa yote haya ya BORN AGAIN ni wizi mtupu....people ar just doing busness there and nothing moo! Kwahiyo kwangu mimi ni Bora niende kwa Babu kuliko kwenye hayo makanisa yenu ya kitapeli.....yaani hata uniubirie nini kwa kunipa mistari...sidanganyiki ng'o....nitabaki na RC yangu till i die.
Na hakuna kanisa linalokusanya pesa nyingi kupitia michango ya kurazimisha kama Ephata ya Mwingira....jamaa ana domo la kukusanya mamilioni usipime!....na kwavile mang'ombe hayaishi hapa mjini basi wakina Mwingira,Kakobe nk. wanakula tu kiulaiiiini na wanaishi kama wafalme kwa pesa za walalahoi mang'ombe (mijitu mijinga) KWANGU MIMI...BORA BABU....KULIKO HIYO MISITARI YAKO UNAYODAI TUKUPE.
Mmmh....Naona umepanic sana!.....nimekugusa nini? zatzwhy nilikuambia binafsi sijasoma sana hivi vitabu vya mungu....ila nimepitiapitia kidogo. Siwezi poteza mda wangu kubishana na wewe kwa hizi dini za kuletewa na wazungu,waarabu.....,siwezi poteza mda wangu wa kubishana na wewe kwa hivi vitabu vilivyoandikwa na binadamu kama mimi na wewe....what i bealieve ni kuishi maisha ya kumpendeza mungu kwa kuacha kitu chochote ambacho unajua ukikifanya kitakuwa ni zambi mbele ya mwenyezi mungu......,naamini mungu yupo na ninaamini mungu anapenda tuwe na matendo mema.....So, huo ushabiki wa dini na vitabu vyake hapa duniani...,nawaachia watu kama nyie.kwa taarifa yako, mimi ni mlutheri sio mlokole!
hata upnde wako, hiyo RC unayoita yako, wala sio yako, hata tarehe ilipoanzishwa hijui. hata account yake ina shilingi ngapi hujui, utasemaje yako? ni upofu tu unakusumbua na uvivu wa kutafakai. bora ukae kimya kuliko kuwaadhiri wa-RC wenzako. mimi ni mwanamke, ukinitongoza lazima nikubali na nijue nikiingi chumbani kwako naenda kufanya nini ndio niondoke na kukufuata. siendi nkama kipofu, naenda nikitazama na macho yangu mawili!
wewe unajiita m-RC huku umefumba macho unasema tukuache na u-RC wako, labda babu atakuponya, pole zako wewe, Yesu ndilo jibu, fungua macho na uijue kweli, hiyo kweli ndiyo itakayokuweka huru, babu hatakuweka huru
haya ndiyo matatizo ya uvivu wa kufikiri. ukichoka kufikiri unatafuta kitu cha kurukia. ukiona mistari ya biblia unasema "mlokole huyu" huyoooo.........., unamrukia! shame on you all mnaojifanya wakristo kumbe mnatuaibisha na upofu wenu wa maandiko na uvivu wa kutafakari neno la Mungu!
kwa kweli utakufa na u-RC yako. si kuwa utaenda jehanum kwa jaili ya RC kama dini, la hasha utaangamia kwa kukosa maarifa. kwa kuwa umemkataa Bwana na maarifa yake, ukaubatiza upofu wako jina la "RC", basi utaangamia na jina lako hilo la UREMBO. si maneno yangu haya, bali ni ya Bwana
sijakasirika ila wivu wa neno la Mungu umenila. be at peace!
Glory to God!
jamani si vyema kumwangalia mwingira kama mjasrimali pekee, bali pia tujiulize mengine aliyoibuka nayo. mfano kuna point hapo kwenye bold.
hata mimi naungana naye kuhoji hapo kwenye bold. anayejua atusaidie. mchungaji anaponya watu bila kuwahubiria kwa namna yoyote, ............we njoo, kamata kikombe chako, kwa heri!............ ni uchungaji gani huu?
Mungu anapewaje utukufu hapo?
tusaidiane please
Glory to God
Ahsante.....I like thiz sound from u.....wakipatikana watu 10 kama nyinyi....basi neno ubishi litatoweka kwa kasi....Ubarikiwe mkuu!MUNGU=YESU. Kwani babu anahubiri? Yeye anaponya maana kama ni kuhubiriwa mnahubiriwa sana lakini bado visukari, ukimwi vyawaandama. Hizo ni karama mbali mbali ambazo Mungu humpa mja ampendaye.
Mmmh....Naona umepanic sana!.....nimekugusa nini? zatzwhy nilikuambia binafsi sijasoma sana hivi vitabu vya mungu....ila nimepitiapitia kidogo. Siwezi poteza mda wangu kubishana na wewe kwa hizi dini za kuletewa na wazungu,waarabu.....,siwezi poteza mda wangu wa kubishana na wewe kwa hivi vitabu vilivyoandikwa na binadamu kama mimi na wewe.....what i bealieve ni kuishi maisha ya kumpendeza mungu kwa kuacha kitu chochote ambacho unajua ukikifanya kitakuwa ni zambi mbele ya mwenyezi mungu.....,naamini mungu yupo na ninaamini mungu anapenda tuwe na matendo mema.....So, huo ushabiki wa dini na vitabu vyake hapa duniani...,nawaachia watu kama nyie.
jamani si vyema kumwangalia mwingira kama mjasrimali pekee, bali pia tujiulize mengine aliyoibuka nayo. Mfano kuna point hapo kwenye bold.
Hata mimi naungana naye kuhoji hapo kwenye bold. Anayejua atusaidie. Mchungaji anaponya watu bila kuwahubiria kwa namna yoyote, ............we njoo, kamata kikombe chako, kwa heri!............ Ni uchungaji gani huu?
Mungu anapewaje utukufu hapo?
Tusaidiane please
glory to god
Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha amemuombea mabaya Mchungaji Ambikile Mwasapile anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika eneo la Samunge, Loliondo kwamba anapaswa kulaaniwa hadi kufa kutokana na kutoa huduma hiyo.
Mwingira alisema hayo katika mahubiri ya ibada ya Jumapili aliyoyatoa katika Makao Makuu ya Kanisa hilo lililoko Mwenge jijini Dar es Salaam. Imeandikwa katika Biblia kwamba,ukipewa bure nawe toa bure. Iweje yeye anauza dawa hiyo, ikiwa Mungu amesema aponye watu. Hakuna sababu ya kuwatoza fedha yoyote wagonjwa.
Hizi ni roho za kishetani zinazotaka kuwaangusha walio wengi ambao hawamjui Yesu Kristo kwani haiwezekani mtu atumiwe na Mungu halafu hata siku moja asimtaje Yesu. Asitumie Biblia hata kuwahubiria watu wamtumaini muumba wao,alisema Mwingira.
Mwingira alisema huduma hiyo ni uongo na kwamba haina tofauti na Deci iliyokuja kiujanja ujanja na kuteka watu wengi baadaye walijutia maamuzi yao. Kama mpakwa mafuta wa Bwana niliyeitwa kwa kusudi lake.
Nailaani Loliondo ife pamoja na Mchungaji wake na itoweke kama Deci ilivyotoweka, alisema Mwingira. Mwingira alisema Mchungaji Mwasapile ni mwongo, anataka kuwadanganya watu na kuwapoteza kiimani.
Alisema kama alivyoilaani Deci na ikafa, anailaani huduma ya Loliondo ili ife kwa kuwa mchungaji huyo ni roho ipotezayo, inayotaka kuwateka watu walioko gizani na kuwaangamiza. Alisema baadhi ya viongozi tayari wamepigwa ngwara na roho hiyo na kunywa dawa, bila wao kujijua.
Sitakubali kuendelea kuona roho hiyo ikipoteza watu. Nailaani itoweke Loliondo na iangamie kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti,alisisitiza. Mwingira alisema haiwezekani kwa mtu aliyeitwa na Mungu kuwahudumia watu wake, baadhi ya watu hao wafe kwenye huduma yake.
Ni wagonjwa wangapi wamepelekwa kule na wengine wamefariki nyumbani kwake kabisa na wengine njiani, je mlishawahi kujiuliza? alihoji Mwingira.
Mwingira alitoa kauli hiyo siku chache baada Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kulieleza gazeti hili:"Miujiza haiji kwa urahisi hivyo na watu kuponya kiasi hicho, huenda wanaweza kuponywa kwa Illusion na baade ikaleta madhara."
Alisema cha msingi watu wanapaswa kuwa makini na serikali pia kwa sababu, wingi wa watu kuponywa huenda baadaye ukaleta vifo vingi zaidi kutokana na dawa yenyewe.
Pengo alisema: Ninachoamini miujiza haiji kwa urahisi na watu wakaponywa kiasi hicho kwa mara moja, huenda ikawa ni kuponya kwa illusion na baadae watu wakapata madhara makubwa.
Ila sina jibu la kutoa kuhusu uponyaji huo, nabaki tu kushangaa nayayotendeka kwa Mchungaji huyo hadi kufikia watu kuamini kiasi hicho,alisema.
Pengo alisema huenda akawa ameamua kutumia njia hiyo akawavuta hata wa waumini waingie kwenye imani yake na kuacha dini zao.
Mwingira yuko sahihi.
Waseme yote, walaani sana, wafundishe sana. Lakini mimi nitabaki nikisema hivi WAKATI UTAAMUA MAMBO.Tena mi noinavyoona waache wale wanaoiamini hiyo dawa ya babu wanywe na kama wanapona na wapone kabisa.
Hawa/sisi ambao tunamashaka nayo, basi tumuombee ulinzi wa Mungu uwe pamoja naye, na Mkono wa Mungu uhusike katika huduma nzima. Kama ni huduma ya uongo haitadumu!!
Kama ni ya Ukweli hata mkeshe na kufunga siku arobaini mchana na usiku haitakufa ng'o!!! Kwa sababu cha Mungu kinadumu. Kwa mtu anayemwamini Mungu na kumjua huyo Mungu anayemwamudu hapaswi kulaani wala kulumbana kwa sababu ya kitu ambacho kinamhusisha Mungu ndani yake.
Tunadhani Mungu ameshindwa kazi kiasi hicho? Tunadhani Mungu anahitaji wewe na mimi mtetee ktk kazi zile zifanywazo kwa jina lake kiasi hicho?
Tunadhani Mungu haoni uongo au ukweli wa mambo yafanywayo na mwanadamu chini ya jua hili?
Hapana Mungu hajafilisika kiasi hicho, wala hatuwezi kumsaidia kazi hata kidogo. Mwenye ufahamu na amuombee Babu tu, uwepo wa Mungu umzingire. Palipo na nguvu ya Mungu uongo lazima udhihirike tu!!! Na ukweli unadumu daima.
Ndivyo moyo wangu unavyonambia mimi. TIME WILL TELL!!!!
Jamani jamani? Askofu mwingira una maanisha kuwa unampinga babu wa loliondo sababu ya kutoza fedha (500/=) au unalingine? Hata sadaka kanisani 500/= haikubaliki. Please find other reasons