Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

Suzie

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
1,267
Reaction score
421
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani.

Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni ya kishenzi sababu waliokutuma ni washenzi.

Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
 
This is beyond now!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hebu tupeleke taratibu,kwani Mwingira anataka kuipindua serikali na kusimika ufalme ulio juu mpaka serikali imfanyie ujasusi? tuambie msingi wa shutuma zake kwa serikali,nadhani itakuwa jambo rahisi kwake kwasababu ameshaoneshwa filam nzima!
 
Lakini kwa nn wasiige mfano wa yesu? Alidhihakiwa na watu walitumwa kum spy na kumkebehi lakini hakuwahi kuwaita washenzi.
Hii imekaaje na anapata wapi ujasiri wa kutukana viongozi wakati hata biblia inasema tiini mamlaka maana kila mamlaka imetoka kwa Mungu..! Yy ni nan na anawafundisha nn kondoo wake ktk hili...?
Ndo maana mm naenda zangu kwa Katunzi pure EAGT hakuna ushenzi kama huu ni injili tu
 
Anadai alienda Israel waziri mmoja wa Israel alimwambia akili yake ni nzuri sana akamshauri aje agombee urais lakini akamjibu kuna mtu anatoka cheo cha juu na kugombea cha chini? Anamaanisha Muingira anacheo cha juu zaidi ya rais.
 
ahahahaaaaasaaaaaaa_another abrakadabrah in its making.
 
lakini kwa nn
wasiige mfano wa yesu? Alidhihakiwa na watu walitumwa kum spy na
kumkebehi lakini hakuwahi kuwaita washenzi.
Hii imekaaje na anapata wapi ujasiri wa kutukana viongozi wakati hata
biblia inasema tiini mamlaka maana kila mamlaka imetoka kwa mungu..! Yy
ni nan na anawafundisha nn kondoo wake ktk hili...?
Ndo maana mm naenda zangu kwa katunzi pure eagt hakuna ushenzi kama huu
ni injili tu
kaka eagt city centre sabasaba viwanjan hapa ndio sehemu ya kuabudu 7bu injili ya pale haijagoshiwa rev katunzi yuko juu
 
nilishawahi kwenda hapo . hayo mahubiri noliyoyaaikia sikuweza kurudi tena. hayakuni bariki kabisa.
 
Anadai alienda Israel waziri mmoja wa Israel alimwambia akili yake ni nzuri sana akamshauri aje agombee urais lakini akamjibu kuna mtu anatoka cheo cha juu na kugombea cha chini? Anamaanisha Muingira anacheo cha juu zaidi ya rais.
Arrogance ini neno niwezalo kutumia kwa mtumishi wa Mungu wa aina hii. Mara nyingi nimemsikia akizungumza with contempt...sijui anakoelekea. Huenda ni mafaniko ya kifedha, sijui ni mafaniko ya kuwa na kanisa kubwa, sijajua anachowaza mpakwa mafuta wa Bwana lakini ni hatari kwa mtumishi wa MUNGU KUFIKA MAHALI PA KUTOCHAGUA NENO LA KUONGEA
 
makinisa " anyway sio vibaya kutembelea makanisa mengine once in a while. sio swala la " viruka njia" watch your writings
 
kaka eagt city centre sabasaba viwanjan hapa ndio sehemu ya kuabudu 7bu injili ya pale haijagoshiwa rev katunzi yuko juu

ndio walewale wakumfuata mtu.. Inamaana huyo rev katunzi akifa utatafuta kanisa lingne lenye mahubiri yakupendezayo...

Pole utahangaika sana; fuata mafundisho ya yesu achana na hao wahubiri
 
Back
Top Bottom