Yousuph Mgeleka
Member
- Jan 27, 2013
- 51
- 23
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
Hivi kweli upo kanisani kwa ibada....au upo mithili ya kivuli tu? Ninachoamini, uwapo kwenye ibada huwezi kushika simu au kufanya jambo min'ghairi ya ibada pekee.