Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

kaka eagt city centre sabasaba viwanjan hapa ndio sehemu ya kuabudu 7bu injili ya pale haijagoshiwa rev katunzi yuko juu
Nalo hilo si kanisa la mtu binafsi Katunzi? Mimi naamini yale makanisa ya miaka na miaka ndio genuine, haya mapya ya kina mwingira na katunzi yamekuja na biashara huria.
 
Katika kudhiriisha uapako wa Mungu unazidi kuenea kila sehemu mtumishi na mpwaka mafta mch Mwingira akiwa kwenye mahubiri Mungu akamuonyesha kuna lijamaaa limekuja kumspy katika mahubiri akasema nakwambia weweee doont waste ur tym here;jamaa gafula akakasirika na kutoka nje na kuanza kuandika jf yale yanayommwagilkia ;sasa Mtumishi anasema anatangaza moto wa Yesu kumshukia na sasa naona anazidi kuhangaika kwenye mtandao;Mungu wangu na maombi yangu Mungu akusamehe wewe ulietumwa
 
Mkuu suzie ule si ushenz tu ni upumbavu kawaambie waliokutuma na ujinga kwa mnadhimu mkuu wa serikali kudai anarudia kusahihsia ili watu wafaulu china wanachinja kuanzia wazir mpaka msahihishaji aeleze sababu za kufeli kwanza;;Binafsi sio tu kustaafishwa ni kuifukuza kabsa unajua sikuhzi kustaaf dili unarudi madarakan na mkataba;; Binafsi wahuni wanaoingia kanisani na kuacha lkuskkliza neno la Mungu kama wewe na wafukuzia mbali mkuu ;;ndio mnatumwa na magazet ya alhamis;kiwi;wasanii kuchafua kanisa pole nafurah ukondan ya moto ambao hata pinda anautambua na kuuheshimu

Moc moc BASIASI.. Mbona waja juu kama moto wa kifuu..? Sijaona ubaya wa Suzie kugawana na sie hayo yafundishwayo na nabii na mtume Mwingira.. Ukitilia maanani Mwingira huyu ndo alieuziwa mashamba makubwa huko mikoani na serikali hii ambayo anainanga sasa..
 
Last edited by a moderator:
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena[/Q [h=1]Mtume na Nabii Josephat Mwingira asaidia maendeleo mkoa wa Rukwa[/h] 30/05/2009
21
mwingira.jpg
[h=3]Rais Jakaya Kikwete akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa kiongozi wa kanisa la Efatha nchini, Mtume na Nabii, Josephat Mwingira katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Rukwa iliyoongozwa na Rais kwenye hoteli ya Kilimanjaro- Kempinski jijini Dar May 27, 2009. Zaidi ya shilingi bilioni 1.4 zilichangwa,Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/h]UOTE]
 
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena[/QBaadhi ya waumini waliokuwepo ibadani. [TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Askofu Gamanywa na familia yake wakiwa katika pozi na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
UOTE]
 
Moc moc BASIASI.. Mbona waja juu kama moto wa kifuu..? Sijaona ubaya wa Suzie kugawana na sie hayo yafundishwayo na nabii na mtume Mwingira.. Ukitilia maanani Mwingira huyu ndo alieuziwa mashamba makubwa huko mikoani na serikali hii ambayo anainanga sasa..

yanauziwa wenye upako tu mkuu si jina
 
Last edited by a moderator:
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena

Labda alikuona wewe mbona baada ya kusema hivyo tu umerusha habari hiyo huku jf

Pole na alichosema ni kweli maana humo makanisani na hata miskitini kuna watu wa serikali hutumwa daily kufanya ushushu usije ukawa wewe ni mmoja wao bwana na mtumishi wa Mungu Mwingira ameoneshwa na Mungu kuwa upo hapo.
 
Suzie usiguse upako xmunfu amekudhiirisha kazi uliotumwa vip amjatoka
 
watu wameenda kupata chakula cha kiroo wanaambulia matusi though maneno yake yanaweza kuwa na ukweli ila si vizuri kutamka kwani kanisani wapo watu tofauti tofauti.
 
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
Ujue hata Mwingira naye ni Mshenzi, na mhudhuriaji naye ni mshenzi!
 
Muingira anaongeza kuwa serikali ya Tanzania iliyopo sasa inahitajika kustaafishwa kwa manufaa ya watanzania kutokana na mambo wanayoyafanya likiwemo hili waliloliamua juzi la kurudia kusahihisha upya mitihani ya kidato cha nne
Kwa hili binafsi namuunga mkono, kwani serikali hii siku zote imekuwa ina kawaida ya kukurupuka ktk maamuzi mazito kwa majibu mepesi kisha kugundua makosa yao na kisha kuyasahihisha.mf.hili la kidato cha iv serikari baada ya kutambua ufaulu mbaya hapo kabla walipaswa kukaa chini na wadau wa elimu ili kutafuta njia sahihi ya utatuzi ikiwemo standardization ya alama za watahiniwa nk. Kuliko hivi sasa, wamesababisha hasara kwa wazazi, wanafunzi na serikali yenyewe!!! Nadilliki kuamini kuwa serikali hii inawatendaji wabaya kila idara.
 
poleni sana wafuata watu makanisani badala ya MUUMBA wenu. Bwana atakaporudi mawinguni siku hiyo utakuwa wapi? na huyo nduguyo?
 
kama ni kweli kasem hivyo basi mtumishi wa bwana atakuwa kakosea hata kama kuna watu wamekuja kumspy. hapaswi kutukana
 
Wewe uliyeko huko kwa Mwingira umefuata nini?nani kakutuma utuhabarishe mambo ya huko?
Hili dhehebu lisilo rasmi ndilo limewapumbaza wengi,wameacha madhehebu yao walikozaliwa leo wanatanga na njia,kazi kuwapelekea pesa akina Mwingira waneemeke ilhali kwao pangu pakavu tia mchuzi.Nikichukua madaraka nchi hii nitabadilisha katiba mara moja,madhehebu yasiyo rasmi yote nitayafutilia mbali,wakafufuane wenyewe huko na si kutapeli nguvu kazi ya taifa,vijana wengi wameacha kulima kazi kucheza sebene.
 
Back
Top Bottom