Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

umenibcc...........sikupaswa kuja huku lakini haya mambo ya wachungaji haya...............ngoja nifunge bakuli langu nisijeitwa mpumbafu bure!!!

Alafu dada ndo nini kuchomeshana mahindi kwenye mvua!??
 
Mimi ni mkrsto na ninaamini Mwingira ni mtumishi wa Mungu lakini anahitaji kumwomba sana Mungu ili ampe busara na hekima za kuifanya kazi yake,Mungu hapiganiwi ndugu zangu,Mwingira hana haja ya kuhangaika na hao anaowaita washenzi bali anatakiwa kufanya kazi aliyopewa na Mungu na kumwachia yeye ashughulike nao
 
Muingira anaongeza kuwa serikali ya Tanzania iliyopo sasa inahitajika kustaafishwa kwa manufaa ya watanzania kutokana na mambo wanayoyafanya likiwemo hili waliloliamua juzi la kurudia kusahihisha upya mitihani ya kidato cha nne

sasa amekosea nini tupe habari kesho mtalipua kanisa gani ya kwenu amsemi mnaishia kuingia kwenye makanisa kusikia watasema nini mbona mnayopanga misikitini usiku wa manane huyaweki hapa javini wewe ni mchonganishi unataka wakristo wagombane wenyewe kwa wenyewe ili mpate kufanya mambo yenu kirahisi kwa kisingizio ni chuki kati ya madhehenu na dhehebu umeshindwa jani ya nyani kwisha jua sie
 
Mimi ni mkrsto na ninaamini Mwingira ni mtumishi wa Mungu lakini anahitaji kumwomba sana Mungu ili ampe busara na hekima za kuifanya kazi yake,Mungu hapiganiwi ndugu zangu,Mwingira hana haja ya kuhangaika na hao anaowaita washenzi bali anatakiwa kufanya kazi aliyopewa na Mungu na kumwachia yeye ashughulike nao

Ni wajibu wa watumishi wa Mungu kuikosoa serikali inapokiuka na kwenda kinyume,hata Yesu walipozidi akapindua meza zao
 
Ni wajibu wa watumishi wa Mungu kuikosoa serikali inapokiuka na kwenda kinyume,hata Yesu walipozidi akapindua meza zao

MWINGIRA ANAFANYA KAZI YA mUNGU,SIONI SABABU YA MWINGIRA KUJIPIGANIA KWA SABABU MUNGU ANAYEMTUMIKIA ANA UWEZO MKUBWA,NIMEFURAHI SANA JINSI TB JOSHUA ANAVYOFANYA KAZI YA MUNGU BILA KUSHUTUMU WATU WANAOMPINGA WAZIWAZI,TUMPE MUNGU NAFASI YA KUJIONYESHA UWEZO WAKE
 
Ila huu utitili wa makanisa unatuchanganya,kila siku anaibuka mtumishi mpya na hoja zake mpya na hapa ndipo nakubali usemi wa mjomba kuwa "MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA"...na KAKOBE kaishia wapi?nijulisheni wanajukwaa.

Acha kuwa na mtindio wa akili. Kama unataka kujua alipo Kakobe si uende kanisani kwake?
 
Hivi kweli upo kanisani kwa ibada....au upo mithili ya kivuli tu? Ninachoamini, uwapo kwenye ibada huwezi kushika simu au kufanya jambo min'ghairi ya ibada pekee.

Huyu ndiye Spy mwenyewe, aliyekuwa anasemwa.
 
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena

Kumbe kasema kweli wala si MULONGO! Aliyetumwa ni wewe na mshenzi ni wewe na ndiyo maana amesema hata waliokutuma ni washenzi! Sasa unashangaa nini? Na kwanini habari uilete hapa badala ya kuipeleka kule kwa waliokutuma?!
 
tujiulize kwanza nini maana ya mshenzi?mweye kamusi atupe maana kamili.
sioni kama ana kosa kama anatetea imani yake.
Hata Yesu alimwita mfalme Herodi Antipas ni Mbweha kwani alitishia kumkamaa pindi yesu akiingia Jerusalem. Luka 13:32
Herodi huyu ndio aliamuru Yohane mbatizaji akatwe kichwa wakati bintie Salome alipotumwa na ***** aombe kichwa chake
baada ya kuahidiwa zawadi alipocheza vema mbele ya mfalme
kama kuna watu walitumwa kanisani kwake kuspy ni kweli hao ni washenzi
nyumba ya ibda sio sehemu ya kuspy ni sehemu ya kumtukuza Mungu.
hawana tofauti na mbweha kama alivotamka Yesu kwa Herodi
herodantipas.jpeg

Why did Jesus refer to Herod as
 
Lakini kwa nn wasiige mfano wa yesu? Alidhihakiwa na watu walitumwa kum spy na kumkebehi lakini hakuwahi kuwaita washenzi.
Hii imekaaje na anapata wapi ujasiri wa kutukana viongozi wakati hata biblia inasema tiini mamlaka maana kila mamlaka imetoka kwa Mungu..! Yy ni nan na anawafundisha nn kondoo wake ktk hili...?
Ndo maana mm naenda zangu kwa Katunzi pure EAGT hakuna ushenzi kama huu ni injili tu

Hakuna binadamu anaweza kua kama Yesu, hakuna na hatakuwepo, so dont compare anyone with Jesus, ingawaje Yesu mwenyewe alianzisha varangati alipokuta hekaluni watu wameanza kufanya biashara, na yesu huyo huyo aliwahi kumwita mfalme Herod Mbweha huoni kama huo ni mfano wa kuigwa pia? Na je kama ni kweli washenzi kuna tatizo gani kusema ukweli?
 
Mimi ni mkrsto na ninaamini Mwingira ni mtumishi wa Mungu lakini anahitaji kumwomba sana Mungu ili ampe busara na hekima za kuifanya kazi yake,Mungu hapiganiwi ndugu zangu,Mwingira hana haja ya kuhangaika na hao anaowaita washenzi bali anatakiwa kufanya kazi aliyopewa na Mungu na kumwachia yeye ashughulike nao

amewaita washenzi kuwapeleka ujumbe kuwa yuko aware with whatever they are trying to do
 
kwa tunayemfahamu asili yake wala hatushangai
ana asili ya kuasi.
 
Back
Top Bottom