Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Katunzi huyu anayeweka matangazo ya Biashara WAPO FM?kaka eagt city centre sabasaba viwanjan hapa ndio sehemu ya kuabudu 7bu injili ya pale haijagoshiwa rev katunzi yuko juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katunzi huyu anayeweka matangazo ya Biashara WAPO FM?kaka eagt city centre sabasaba viwanjan hapa ndio sehemu ya kuabudu 7bu injili ya pale haijagoshiwa rev katunzi yuko juu
ina maana huyu mwizi katutukana na sisi,, maana kama serikali ni washenzi na wanaongozwa lazima wawe washenzi wanaokubaliana na ushenzi unaofanywa na washenzi......... Mshenzi yeye na yeyote anakubaliana naye..haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
hujui unaloxema
ndugu issue si imani uliyozaliwa nayo, bali imani sahihi yenye kufuata amri za mungu ndani ya biblia takatifu na imani ya yesu pekee.
Kumb. Mzazi hata beba dhambi ya mtoto wala mtoto dhambi ya mzazi. Take it mr/mis/ms
Lakini kwa nn wasiige mfano wa yesu? Alidhihakiwa na watu walitumwa kum spy na kumkebehi lakini hakuwahi kuwaita washenzi.
Hii imekaaje na anapata wapi ujasiri wa kutukana viongozi wakati hata biblia inasema tiini mamlaka maana kila mamlaka imetoka kwa Mungu..! Yy ni nan na anawafundisha nn kondoo wake ktk hili...?
Ndo maana mm naenda zangu kwa Katunzi pure EAGT hakuna ushenzi kama huu ni injili tu
Uasherati usitajwe kwenu kamwe!!!!
Hatuhitaji ushahidi Kujua uchafu wa Mwingira tumejionea wenyewe kama hujaona nenda pale.Ukitaka ushahidi wewe mpeleke mkeo au dada yako uatajua hayo.
Kama unania ya dhati watafute wahariri wa gazeti la Utatu watakupa live!!
Sina haja ya kuficha uchafu wa Mwingira kwa kuwa uchafu huu ni sawa na ushenzi wa Sesrikali tunao upinga!!!!!!!!!
Kakobe alishinda kwa kuwa anasimamia kweli ya neno na yale anayoyahubili anayatenda .Sasa Mwingira ni zipu kwa mbele!!!.Vipi ulisha mpeleka mkeo au dadaako nn? hayo yoote hayana ushahidi, kakobe enzi yake walimzushia saana ooh kuna joka kubwa ofcn kwake, anarubuni watu, yako waapi he is still there to date, remeber No right to condemn unless u have a proof, if u have it put it on the table.
Hebu tupeleke taratibu,kwani Mwingira anataka kuipindua serikali na kusimika ufalme ulio juu mpaka serikali imfanyie ujasusi? tuambie msingi wa shutuma zake kwa serikali,nadhani itakuwa jambo rahisi kwake kwasababu ameshaoneshwa filam nzima!
Haya anayasema saa hii wakati
anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali
wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa
ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi.
Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
Kakobe alishinda kwa kuwa anasimamia kweli ya neno na yale anayoyahubili anayatenda .Sasa Mwingira ni zipu kwa mbele!!!.Vipi ulisha mpeleka mkeo au dadaako nn? hayo yoote hayana ushahidi, kakobe enzi yake walimzushia saana ooh kuna joka kubwa ofcn kwake, anarubuni watu, yako waapi he is still there to date, remeber No right to condemn unless u have a proof, if u have it put it on the table.
ahahahaaaaasaaaaaaa_another abrakadabrah in its making.
HAHAHAHAHAHAHAHA...... Hapo kwa RED....... Hivi jamani Biblia mnazibeba urembo au? Someni Biblia muijue kweli na kuamka kiroho.....
ina maana huyu mwizi katutukana na sisi,, maana kama serikali ni washenzi na wanaongozwa lazima wawe washenzi wanaokubaliana na ushenzi unaofanywa na washenzi......... Mshenzi yeye na yeyote anakubaliana naye..
Vipi ulisha mpeleka mkeo au dadaako nn? hayo yoote hayana ushahidi, kakobe enzi yake walimzushia saana ooh kuna joka kubwa ofcn kwake, anarubuni watu, yako waapi he is still there to date, remeber No right to condemn unless u have a proof, if u have it put it on the table.[/QUO Kabla sijaanza kuchambua ukweli wake napenda kunukuu Sehemu ya kwanza ukurasa wa Kwanza wa Kitabu hichoambapo Nabii na Mtume Mwingira anaeleza jinsi alivyo kutana na mungu wake na kupewa kazi.Mwingira anaanza kusimulia kama ifuatavyo
‘Nakumbuka siku moja nikiwa Mirerani ,huko Arusha, BWANA YESU alinitokea chumbani. Kwa kuwa nilikuwa mzinzi na mlevi niliyebobea, ndiyo kwanza nilikuwa nimetokea kwenye starehe zangu, tayari nikiwa na dada mmoja Kahaba. YEYE Kama nilivyoeleza hapo juu, mimi nilikuwa katika mazingira ambayo hayakuwa mazuri sana kwa sababu nilikuwa katika hali ya ulevi namshiriki wa mambo mengi ya dunia.
Yule dada(kahaba) alipona hali hiyo akakimbia ,nikabaki(Josephati) peke yangu.BWANA YESU akasema, "Mimi ninakutaka wewe uache maovu yote na unitumikie" Baadaye wakati alipotaka kuondoka ,ikanibidi nimshike miguu na kumg'ang'ania, nikamwambia, "usiniache!' Akashuka chini na kunishika bega la mkono wa kulia akasema,'Nitakuwa na wewe! Halafu akatoweka.
Baada ya hapo yakawa yananitokea maono Fulani Fulani ya kutumwa. Mara BWANA YESU alinituma nikawaombee watu Fulani Fulani waokoke au wapone kutokana na magonjwa yao wakati mimi nilikuwa bado sijui kuokoka kilikuwa kitu gain.
Lakini nikawa napata neema ya kwenda kuwaombea na wagonjwa wakawa wanapona.Wakati mwingine BWANA YESU akawa ananitokea katika ndoto au anatuma malaika ambao walikuwa wananielekeza watu wa kwenda kuwaombea uponyaji kutokana na mtatizo yao. Kufikia hapo nikawa hata nikienda kunywa pombe ,nilikuwa naitapika yote. Hama ya pombe ikaisha na nikaichukia moja kwa moja. Baada ya hapo nilikuwa sijui hata kufungua Bibili, ukiachilia mbali kwamba nilikuwa sina Bibilia….' Mwisho wa kunukuu.
TE]
Huyu ndiye Mwingira unaye mtetea wewe!!!!!!
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
ww ni mmbeya tu, huna maana yawezekana ni ww ndo umetumwa na umeambiwa ww ndo mshenzi
ina maana huyu mwizi katutukana na sisi,, maana kama serikali ni washenzi na wanaongozwa lazima wawe washenzi wanaokubaliana na ushenzi unaofanywa na washenzi......... Mshenzi yeye na yeyote anakubaliana naye..
[/QUOTE
Yaani keshakuwa mwizi tena???????????