KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
kama ni kweli alifanya zinaa, unauhakika gani hajatubu na kuacha, unataka akwambie ww, kwani we ndo unasamehe, Hivi ww ndo unamuamulia Mungu kusamehe? wewe umefanya mangapi na ukasamehewa, au huyo kiongozi wako wa kidini hajawahi kutenda dhambi? Mind u we are humans, and human is to err, tungekua perfect tusinge muhutaji Mungu wala Yesu kabisa, unajua hata kama umefanya dhambi five minutes ago ukatubu kwa Mungu unasamehewa hapo hapo? Sasa mantiki ya wewe kungangania accusation ambazo hazina proof yoyote na ni miaka ilishapita ni nini hasa na ili iweje?
Juzi Mary Msimbila (hawala) Katimuka na sasa mgongano wa Makahaba unaendelea hapo Efatha Benk Unataka kumudanganya nani????????????