Vipi ulisha mpeleka mkeo au dadaako nn? hayo yoote hayana ushahidi, kakobe enzi yake walimzushia saana ooh kuna joka kubwa ofcn kwake, anarubuni watu, yako waapi he is still there to date, remeber No right to condemn unless u have a proof, if u have it put it on the table.[/QUO Kabla sijaanza kuchambua ukweli wake napenda kunukuu Sehemu ya kwanza ukurasa wa Kwanza wa Kitabu hichoambapo Nabii na Mtume Mwingira anaeleza jinsi alivyo kutana na mungu wake na kupewa kazi.Mwingira anaanza kusimulia kama ifuatavyo
Nakumbuka siku moja nikiwa Mirerani ,huko Arusha, BWANA YESU alinitokea chumbani. Kwa kuwa nilikuwa mzinzi na mlevi niliyebobea, ndiyo kwanza nilikuwa nimetokea kwenye starehe zangu, tayari nikiwa na dada mmoja Kahaba. YEYE Kama nilivyoeleza hapo juu, mimi nilikuwa katika mazingira ambayo hayakuwa mazuri sana kwa sababu nilikuwa katika hali ya ulevi namshiriki wa mambo mengi ya dunia.
Yule dada(kahaba) alipona hali hiyo akakimbia ,nikabaki(Josephati) peke yangu.BWANA YESU akasema, Mimi ninakutaka wewe uache maovu yote na unitumikie Baadaye wakati alipotaka kuondoka ,ikanibidi nimshike miguu na kumgangania, nikamwambia, usiniache! Akashuka chini na kunishika bega la mkono wa kulia akasema,Nitakuwa na wewe! Halafu akatoweka.
Baada ya hapo yakawa yananitokea maono Fulani Fulani ya kutumwa. Mara BWANA YESU alinituma nikawaombee watu Fulani Fulani waokoke au wapone kutokana na magonjwa yao wakati mimi nilikuwa bado sijui kuokoka kilikuwa kitu gain.
Lakini nikawa napata neema ya kwenda kuwaombea na wagonjwa wakawa wanapona.Wakati mwingine BWANA YESU akawa ananitokea katika ndoto au anatuma malaika ambao walikuwa wananielekeza watu wa kwenda kuwaombea uponyaji kutokana na mtatizo yao. Kufikia hapo nikawa hata nikienda kunywa pombe ,nilikuwa naitapika yote. Hama ya pombe ikaisha na nikaichukia moja kwa moja. Baada ya hapo nilikuwa sijui hata kufungua Bibili, ukiachilia mbali kwamba nilikuwa sina Bibilia
. Mwisho wa kunukuu.
TE]
Huyu ndiye Mwingira unaye mtetea wewe!!!!!!