brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
kocha mkuu wa simba patrick leiwig amesema mchezaji wenye kipaji kikubwa mwinyi kazimoto hayupo kwenye mipango yake ya timu kutokana na matatizo ya kinidhamu, tangu aache na kocha ufanisi wa kazimoto umepungua hata kwenye timu ya taifa, nakumbuka mazingira ya mwinyi kazimoto kuacha kazi na kujiunga jeshini na kujiunga na simba yanafanana ya kiungo wa primus kasonso kuacha kazi akiwa mbeya magereza na kujiunga simba, kasonso hakudumu sn simba na sasa amestaafu, cjaelewa kwanin kazimoto ameingia kwenye mkumbo huu wa kina boban, nyosso na maftaha wakati anategemea mpira kuendesha maisha yake, wachezaji we2 umefika wakati wajitambue waache usela usio na maana unaoharibu kazi zao, sita shangaa mwisho wa msimu akiachwa simba cha ajabu yanga watamchukua ndo mpira wa bongo huo