MWINYI Kazimoto yaleyale ya PRIMUS Kasonso

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
kocha mkuu wa simba patrick leiwig amesema mchezaji wenye kipaji kikubwa mwinyi kazimoto hayupo kwenye mipango yake ya timu kutokana na matatizo ya kinidhamu, tangu aache na kocha ufanisi wa kazimoto umepungua hata kwenye timu ya taifa, nakumbuka mazingira ya mwinyi kazimoto kuacha kazi na kujiunga jeshini na kujiunga na simba yanafanana ya kiungo wa primus kasonso kuacha kazi akiwa mbeya magereza na kujiunga simba, kasonso hakudumu sn simba na sasa amestaafu, cjaelewa kwanin kazimoto ameingia kwenye mkumbo huu wa kina boban, nyosso na maftaha wakati anategemea mpira kuendesha maisha yake, wachezaji we2 umefika wakati wajitambue waache usela usio na maana unaoharibu kazi zao, sita shangaa mwisho wa msimu akiachwa simba cha ajabu yanga watamchukua ndo mpira wa bongo huo
 
Weee tutake radhi.Sisi tukija msimbazi tunang'oaga majembe kama akina yondani,sio mibange kama hao usiote hilo!:nono:
 
we nadhan ni mgeni wa siasa za simba na yanga
 
Ni kweli kuna siasa za simba na yanga lkini Yanga ipo tofauti kidogo kwenye upande wa nidhamu ya wachezaji, imean wapo sirias zaidi kwenye upande wanidham nyuma ya kipaji cha mchezaji si kama simba ambayo miaka mingi ni kama kijiwe cha wahuni na wavuta bangi,mfano Amir maftah aliachwa na yanga akiwa bado yuko juu kiviwango,sbb ya nidham mbovu,Chuji alisha achwa na yanga yanga kwa sbb hiyohiyo na amshukuru papic kumrudisha yanga na vitu vyake mnaviona -amejirekebisha.Mtu kama boban angekuwa yanga angekuwa katupiwa virago vyake zamanii
 
Wameshajua kua, Kazimoto atatua Jangwani msimu ujao ndio maana wamemtoa ktk mipango yao. Kwa mtu anayejua mpira atakubaliana na mimi kua Kazimoto bado ni kati ya wachezaji mahili kwasasa isipokua tu timu aliyopo inathamini sana majina kuliko uwezo. Hii utaona kwa mfano Bobani au Nyoso sio wachezaji wa kutisha sana ila wanatetemekewa sana kiasi kwamba hata wakifanya utovu wa nidhamu wanalindwa hichi ndicho kinachowaaribu wengine au kuwakatisha tamaa.
 
Likwanda kama ni majina makubwa ni pamoja na la mwinyi kazimoto tatizo la soka la tanzania huwa wanaangaliaàlipelekwa na nani kwenye timu husika mfano hao wote mnawazungumzia hapo juu wameletwa na kaburu hivyo mkigombana na kaburu basi na wachezaji nao wanakuwa na mgomo baridi hii inaonyesha uelewa wa wachezaji wetu ni duni.. Mfano boban kama ni kumvumilia imetosha hata kama kiwango chaki kikojuu
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la nidhamu litakoma pale timu hizi zitakapowekeza zaidi kwenye timu za vijana na kuacha kusajili wachezaji wengi wenye majina kutoka klabu nyingine. Lakini pia wachezaji wasisajiliwe kwa fedha za baadhi ya viongozi kwani hii husababisha wao kujiona wanawajibika zaidi kwa viongozi waliowasajili kuliko klabu.
 
tatizo ni kwamba wachezaj weng wa kibongo hawajitambui.,sasa wew kama soka ndo kazi yako halafu unamsikiliza kaburu,unajitambua kweli? cyo hao tu kuna mifano mingi ya wachezaj wasiojali kesho yao kama kina mrisho ngasa...so tatizo siyo lingine ni wachezaj kutojitambua kuwa leo anakubalika kwa kiwango chake lakin kesho atakuwa hana kiwango tena na hao wanaomshawish leo watamwona mbulula
 
kocha mkuu wa simba patrick leiwig amesema mchezaji wenye kipaji kikubwa mwinyi kazimoto hayupo kwenye mipango yake ya timu kutokana na matatizo ya kinidhamu, tangu aache na kocha ufanisi wa kazimoto umepungua hata kwenye timu ya taifa, nakumbuka mazingira ya mwinyi kazimoto kuacha kazi na kujiunga jeshini na kujiunga na simba yanafanana ya kiungo wa primus kasonso kuacha kazi akiwa mbeya magereza na kujiunga simba, kasonso hakudumu sn simba na sasa amestaafu, cjaelewa kwanin kazimoto ameingia kwenye mkumbo huu wa kina boban, nyosso na maftaha wakati anategemea mpira kuendesha maisha yake, wachezaji we2 umefika wakati wajitambue waache usela usio na maana unaoharibu kazi zao, sita shangaa mwisho wa msimu akiachwa simba cha ajabu yanga watamchukua ndo mpira wa bongo huo

Ajabu ni ipi hapo? Mbona kina Tevez na Balotelli hamuoni ajabu? Kajifunze soka ndo uje kutoa hoja. Mchezaji aweza asiwe na ufanisi kwenye timu moja na akafanikiwa kwenye timu nyingine. Vipi kuhusu Amri Kiemba? Acha hizo bana.
 
Wameshajua kua, Kazimoto atatua Jangwani msimu ujao ndio maana wamemtoa ktk mipango yao. Kwa mtu anayejua mpira atakubaliana na mimi kua Kazimoto bado ni kati ya wachezaji mahili kwasasa isipokua tu timu aliyopo inathamini sana majina kuliko uwezo. Hii utaona kwa mfano Bobani au Nyoso sio wachezaji wa kutisha sana ila wanatetemekewa sana kiasi kwamba hata wakifanya utovu wa nidhamu wanalindwa hichi ndicho kinachowaaribu wengine au kuwakatisha tamaa.
aende zake akapigwe misumari ale jg
 
Ajabu ni ipi hapo? Mbona kina Tevez na Balotelli hamuoni ajabu? Kajifunze soka ndo uje kutoa hoja. Mchezaji aweza asiwe na ufanisi kwenye timu moja na akafanikiwa kwenye timu nyingine. Vipi kuhusu Amri Kiemba? Acha hizo bana.
nadhani ujanielewa mkuu hapa nazungumzia matatizo ya kinidhamu ya wachezaji we2 na future zao, mara nyingi simba na yanga zinasajili kukomoana na kuonyeshena ubabe, mfano mbuyu twite yanga walimsajili ili 2 asiende simba halikuwa pendekezo la kocha vilevile mrisho ngassa alipelekwa simba 2 kuikomoa yanga ambayo mchezaji alionesha mapenzi nayo
 
tatizo ni kwamba wachezaj weng wa kibongo hawajitambui.,sasa wew kama soka ndo kazi yako halafu unamsikiliza kaburu,unajitambua kweli? cyo hao tu kuna mifano mingi ya wachezaj wasiojali kesho yao kama kina mrisho ngasa...so tatizo siyo lingine ni wachezaj kutojitambua kuwa leo anakubalika kwa kiwango chake lakin kesho atakuwa hana kiwango tena na hao wanaomshawish leo watamwona mbulula
uko sahihi mkuu lakini pia mfumo we2 wa usajili unamatatizo utakuta kiongozi ana 10% ya fedha ya usajili ya wachezaji fulani hi inasababisha mchezaji kumsikiliza zaidi aliefanikisa usajili wake kuliko kocha
 
Tatizo la nidhamu litakoma pale timu hizi zitakapowekeza zaidi kwenye timu za vijana na kuacha kusajili wachezaji wengi wenye majina kutoka klabu nyingine. Lakini pia wachezaji wasisajiliwe kwa fedha za baadhi ya viongozi kwani hii husababisha wao kujiona wanawajibika zaidi kwa viongozi waliowasajili kuliko klabu.
upo tayari kwa matoke mabovu maana kuwekeza kwa vijana kunachukua muda mrefu kupata mafanikio kama unavyoiona arsenal
 
Sasa Mwinyi Kazimoto atacheza namba gani pale Jangwani?,namba anazocheza yeye zimesheheni hazina tupu Niyonzima,Domayo,Chuji,Nizar na Nurdini.....kutoka Simba sisi kwa kawaida huwa tunachukua Wachezaji wanaocheza namba nyingi ili iwe rahisi kuwa'adjust,mtu kama Kapombe ndo type ya watu wanaohitajika pale na si huyo Kazimoto ambaye alitakiwa hapo awali akiwa bado yupo JKT Ruvu akaleta pozi.
 
Ni kweli kuna siasa za simba na yanga lkini Yanga ipo tofauti kidogo kwenye upande wa nidhamu ya wachezaji, imean wapo sirias zaidi kwenye upande wanidham nyuma ya kipaji cha mchezaji si kama simba ambayo miaka mingi ni kama kijiwe cha wahuni na wavuta bangi,mfano Amir maftah aliachwa na yanga akiwa bado yuko juu kiviwango,sbb ya nidham mbovu,Chuji alisha achwa na yanga yanga kwa sbb hiyohiyo na amshukuru papic kumrudisha yanga na vitu vyake mnaviona -amejirekebisha.Mtu kama boban angekuwa yanga angekuwa katupiwa virago vyake zamanii
Akiba ya maneno ni kitu kizuri sana asee leo Haruna Moshi Boban mawela yuko yanga hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom