Pre GE2025 Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jitahidi sana upunguze ukubwa wa serikali yako
Hili litasaidia sana kubana matumizi ya serikali yako na hivyo basi utaokoa fedha nyingi sana za serikali ambazo zingeweza kutumika bila mpangilio na hii itakuwezesha kugharimia miradi mbalimbali ya serikali kama maji, barabara, umeme, afya, elimu.

Boresha mfumo wa Tehama kuzuia safari za hovyo za viongozi zinazotumia mabilioni ya shilingi za kitanzania
kwa mfano viongozi wakuu wa serikali wanaweza kuwasiliana na viongozi wa chini kwa njia za tehama na hii itapunguza kwa kiwango kikubwa sana matumizi ya hovyo ya serikali na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi

kipaumbele chako cha
1.kubana matumizi
2.kubana matumizi
3.kubana matumizi
4.kubana matumizi

NITAENDELEA KUKUSHAURI NINI CHA KUFANYA KILA SIKU MPAKA MWAKA KESHO NITAKUWA NIMEANDIKA KURASA 250.
 
Ufala uache

Bando hutununuli weweπŸ˜ŸπŸ€”πŸ₯Ί




























😁😁😁😁
 
Hizi kauli ndo zinatuchelewesha kama Taifa!
Mchakato wa kugombea uwe wa wazi... Wenye Nia wajitokeze wafanyiwe vetting rasmi na wananchi wahoji dhamira zao.
Haya ya viongozi kuandaliwa sirini huko kusikojulikana tuondokane nayo!
Wasiomtaka huyo mnayemtaka nao wasikilize!
 
Dr Titus mrudisheni kule TANAPA kikosi cha ushauri mnajenga hovyo hovyo mahoteli huko mbugani mpaka wanyama wanakosa FARAGHA !!!
Inasikitisha sana! Yaani wamegawa vitalu na plots kila Kona hifadhini. Na vinavyojengwa havina uhusiano na mandhari wala malengo ya Tuhifadhi!
 
Mbona mapema jamani,mshaanza kumkataa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…