Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Umeenda mbali sana. Mimi mawazo yangu kwingine kabisa. Hata ugaidi sijawaza. Soma post yangu vizuri itafakari.Hati ya kusafiria kwani sh ngapi?
Ni sh 150000 tu
Yaani unahukumu uhalifu wa mtu kwa muonekano?,
Ina maana Waislamu wote wenye muonekano wa Ibada wote ni magaidi?
Acheni unyanyapaa kwa binadamu wenzenu, Ni ukatili huo