Mwinyi Zahera kutambulishwa kwenye klabu ya Simba leo mchana

Mwinyi Zahera kutambulishwa kwenye klabu ya Simba leo mchana

Tunaangalia uwezo wake wa KAZI
Sio UTANI WA JADI
Nchi hii inaongoza kwa unafiki duniani.....huyu huyu Zahera ambaye alikuwa anatukanwa 24/7,hadi press conference zilikuwa zinaitishwa kwasababu yake......wanasiasa, viongozi wa michezo pamoja na mashabiki wanaishi kwa unafiki.....ni ngumu kusogea kwa huu ujinga....anywei bila shaka mtamshonea Suluari za kuvaa
 
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Msemaji wa Mabingwa wa Nchi, Haji Sunday Manara leo saa sita mchana kuna tukio kubwa la ugeni kutangazwa.

Tetesi zinasema anaweza akawa anatangazwa Papaa Mwinyi Zahera ila haijajulikana ni nafasi gani atapewa klabuni

Stay tuned...

View attachment 1757789
Uyu jamaa anaenda kuisambaratisha SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zahera anawajua wachezaji wengi ila ni dalali mnòo.
Mikia mnachotaka kumtumia zahera kipindi hiki sbb ya usajili wa makambo ambao Yanga wana 80% za kumrudisha kwa kuvunja mkataba wake kule horoya,za chini ya kapeti mikia washapita njia za panya wanamtaka kwa mkopo,njia ya kumshawishi ndio huyo zahera,kwa taarifa yenu Yanga tukimkosa makambo tunaenda kwa jesse were
 
Naomba maelezo ya kina ni mkataba au makubaliano katika nyanja zipi baina yao.
Vunjabei group wameingia mkataba na club ya simba wa kuzalisha na kusambaza jezi za club!!
Mkataba huo thamani yake ni billion 2 , hapo sasa uhl sport hawatohusika tena
 
Vunjabei ndio watakuwa watengenezaji na wasambazaji wa jezi zetu, mkataba ni wa miaka 2, manake vijana wametoa bilioni mbili na kuwashinda wengine 11!!
Tutafute pesa kwakweli
 
Vunjabei ndio watakuwa watengenezaji na wasambazaji wa jezi zetu, mkataba ni wa miaka 2, manake vijana wametoa bilioni mbili na kuwashinda wengine 11!!
Tutafute pesa kwakweli
Duh.!
2 B .?
 
Vunjabei ndio watakuwa watengenezaji na wasambazaji wa jezi zetu, mkataba ni wa miaka 2, manake vijana wametoa bilioni mbili na kuwashinda wengine 11!!
Tutafute pesa kwakweli
Lini ameshawahi kutengeneza jezi mpaka akaqualify kushinda zabuni hio? Jezi zikiwa mbaya sijui watamlaumu nani
 
Vunjabei group wameingia mkataba na club ya simba wa kuzalisha na kusambaza jezi za club!!
Mkataba huo thamani yake ni billion 2 , hapo sasa uhl sport hawatohusika tena
Ahaa! Sawa. Ni kampuni gani nyingine 11 zilikuwa katika kuwania zabuni hii?
-
Kwa anayefahamu Vunja Bei amewahi kutengeneza jezi za vilabu gani ukiachana na Samatta X AliKiba Foundation. Sample jerseys kama zipo naomba picha husika.

Positively! Si-Underestimate | Thanks.
 
Siwezi kupanic.......sioni jipya ambalo Mwinyi anaweza kuoffer na kuwa scout wa kuwaletea wachezaji vijana, wakati kila siku alikuwa anajitapa kuwa anaishi ufaransa......anyway kupanga ni kuchagua
Kofi olomide anaishi ufaransa(Paris),huwezi amini kilasiku yupo na nandy bongohapa mzee....mashairi yanatungwa hayaishi..sembuse mwinyi
 
Back
Top Bottom