Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa mara ya kwanza katika zama hizi ITV wameweza kuwa mbele (exlusively) kutoa habari katika jambo linalo trend.
Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa Mzize wakati hajaanza hata mazoezi na timu kubwa, na hata baada ya barua kutoka Marseille, bado msimamo wa Yanga ilikuwa kumpeleka Singida;
"Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye system ya TFF ila ni Mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende Singida na walitaka kumtoa wakati hajafanya hata mazoezi timu kubwa, hata Marseille walipotuma barua kumtaka wao wakasema tumpeleke Singida tu maana Wachezaji watapatikana wengine"
Chanzo: ITV
Jamaa wachawi sana.Yanga wana historia ya kuwaonea wivu wachezaji wao...
Hata Msuva asingekomaa huenda tusingemuimba leo...
Haya maneno unaweza kuwaambia Man U kwa Ganacho au wao hawajui thamani ya mchezaji? Yaani timu inayomiliki mchezaji uanze kupangiwa cha kufanya? Wangempeleka Singida Kwa mkopo Nani angeenda kupinga mahakamani? Kama Zahera alimshauri Nabi alimshauri kama nani kwa Yanga? Nabi si alikuwa sehemu ya uongozi wa Yanga kuhusu hatima ya Mzize?
Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa Mzize wakati hajaanza hata mazoezi na timu kubwa, na hata baada ya barua kutoka Marseille, bado msimamo wa Yanga ilikuwa kumpeleka Singida;
"Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye system ya TFF ila ni Mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende Singida na walitaka kumtoa wakati hajafanya hata mazoezi timu kubwa, hata Marseille walipotuma barua kumtaka wao wakasema tumpeleke Singida tu maana Wachezaji watapatikana wengine"
Chanzo: ITV
unajua lolote kuhusu mkataba?Yanga wana historia ya kuwaonea wivu wachezaji wao...
Hata Msuva asingekomaa huenda tusingemuimba leo...
Na mimi nimeshangaa. Wamepataje pataje Zahera hao ITV mana siyo kawaida yao kuwa habari kama hizi za michezo! Wenyewe ITV wapo vizuri kwenye habari za kitaifa tu!Kwa mara ya kwanza katika zama hizi ITV wameweza kuwa mbele (exlusively) kutoa habari katika jambo linalo trend.
ITV tulishawazoea kuja na habari za michezo ya mbuzi, bao na marudio ya habari zilizopitwa na wakati.
Umewaza kama mimi. Sawa hakwenda Singida! Na hata sasa Esperance de Tunis wameweka mezani dau la dola milioni 1 za Kimarekani (Tsh. Bilioni 2.6) kutaka kumnunua.Haya hakwenda Singida na sasa mchezaji halali wa Yanga. Mnataka kusema nini nyie?
OK sawa mimi ni mtu wa kilungule...unajua lolote kuhusu mkataba?
unajua lolote kuhusu biashara ya wachezaji?
una comment kama mtu wa kilungule bhana
Watu wanataka kukuza mambo kipuuzi puuzi sana. Huyu Zahera hatakagi jambo limpite anajiona kama yeye ndio master kwa kila kitu.Umewaza kama mimi. Sawa hakwenda Singida! Na hata sasa Esperance de Tunis wameweka mezani dau la dola milioni 1 za Kimarekani (Tsh. Bilioni 2.6) kutaka kumnunua.
Kwa hiyo Mwinyi Zahera anataka mgao iwapo atauzwa, au na yeye anataka aonekane ni mtu muhimu kwenye maisha ya Mzize?
Na mpaka muda huu matokeo yako hivi; Jasmine Fc 0 Yanga Sc 3!
Wakongo huwa wanaielewa sana nchi hii hata wachezaji hawaondoki hata wakikosa timu,hata likizo zao wanakuwa hapa mf Mayele.Huyu kocha analipenda sana soka la Bongo...