Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

Valentine Strasser
From Wikipedia, the free encyclopedia

Valentine Strasser
Head of State of Sierra Leone
In office

29 April 1992 – 16 January 1996
Preceded by Joseph Saidu Momoh
Succeeded by Julius Maada Bio
Chairman of the National Provisional Ruling Council (NPRC)
In office

29 April 1992 – 16 January 1996
Preceded by Position created
Succeeded by Julius Maada Bio
Personal details
Born
Valentine Esegragbo Melvine Strasser
26 April 1967 (age 50)
Freetown, Sierra Leone
Nationality Sierra Leonean
Political party Military Junta (National Provisional Ruling Council- NPRC)
Residence Newton, Western Area, Sierra Leone
Alma mater University of Warwick, Coventry, England, UK
Profession Soldier
Religion Christianity
Military service
Service/branch
Sierra Leone Army
Years of service 1985–1996
Rank Captain
Battles/wars Sierra Leone Civil War
Valentine Esegragbo Melvine Strasser (born on 26 April 1967 in Freetown, Sierra Leone) served as head of state of Sierra Leone from 1992 to 1996. He had been a junior military officer but in 1992, he became the world's youngest Head of State when he seized power three days after his 25th birthday. He was the leading member in a group of six young Sierra Leonean soldiers who overthrew president Joseph Saidu Momoh in the 29 April 1992 military coup. They established a military junta called the National Provisional Ruling Council (NPRC).

On January 1996, after nearly four years in power, Strasser was ousted in a second military coup, but this time it was his own NPRC soldiers who were not satisfied with his handling of the peace process. The coup was led by his deputy, Brigadier General Julius Maada Bio.

Stresser is the first, and one of two Sierra Leonean Head of State (the other is Julius Maada Bio) born after Sierra Leone had become an Independent nation. He is also the second Sierra Leonean Head of State from the Krio ethnic group.

Strasser was born and raised in the neighbourhood of Allen Town in the east end of Sierra Leone's capital Freetown to Creole parents. Strasser enlisted in the Republic of Sierra Leone Military Forces (RSLMF) at age eighteen, immediately after graduating from secondary school.

Contents
[1Early life

Early life[edit]
Valentine Esegragbo Melvin Strasser was born on 26 April 1967 in Freetown, the capital of Sierra Leone, to parents from the Creole ethnic group. Strasser grew up in the neighbourhood of Allen Town, in the extreme East End of Freetown.

Strasser completed his secondary education at the Sierra Leone Grammar School in Freetown and graduated in 1985 at age eighteen. While in secondary school, Strasser was a gifted student in math and chemistry.

Military career[edit]
On graduation from secondary school in 1985, he enlisted in the Republic of Sierra Leone Military Forces (RSLMF) at the age of eighteen and was deployed for military training as a cadet officer at the Benguema Military Training Academy in Benguema, a town located just outside Freetown. After his training, he was commissioned into the Sierra Leone army at the young age of nineteen. He was posted to a barracks in Daru, Kailahun District in Eastern Sierra Leone.

The Revolutionary United Front (RUF) led by Foday Sankoh began their first attack on 25 March 1991 in Buedu villages in Kailahun District. Strasser and other soldiers who were already in a military barracks in Kailahun, were sent to command and rout the rebellion against the RUF.

Presidency[edit]
During Strasser's time at the war front in Kailahun District against the RUF, the Government of Sierra Leone led by president Joseph Saidu Momoh hardly supplied enough boots to the soldiers and the necessary military equipment to help fortify Strasser and his fellow soldiers in the war against the RUF. The soldiers never received their salaries on time and their welfare was hardly at the top of the government's list of priorities.

After many appeals, warnings or threats, the young soldiers decided to march down in their combat from Kailahun to the State House in Freetown on 29 April 1992, to protest about their setbacks in pursuing the war, demanding their outstanding salaries. The group of soldiers was led by Strasser himself and his best friend Solomon Musa. The emergence of the soldiers into the capital city forced president Momoh to flee the country and he went into exile in Conakry, Guinea. That motivated Strasser and his men to seize power, forming the NPRC, with Strasser as its leader and the Head of State of the country. Strasser became the youngest Head of State in the world at just twenty five years old.[1][2]

1996 Coup[edit]
On January 1996, after nearly four years in power, Strasser was ousted in another military coup, but this time it was his own NPRC members who were not satisfied with his handling of the peace process. The coup was led by his deputy, Brigadier General Julius Maada Bio, Colonel Tom Nyuma and Captain Komba Mondeh. Bio quickly rose as the leader of the coup, with the support of Nyuma and Mondeh and took over as Head of State of Sierra Leone.

Post-Presidency[edit]
Following his overthrow, Strasser left for the United Kingdom, where he studied law at the University of Warwick in Coventry, England, but stopped his studies after a year. In 2000 Strasser left England for Gambia only to have his entry to that country denied.[3] He then moved back to Sierra Leone where he lives in poverty on a small pension in Grafton, east of Freetown,[4][5] and runs the ICT Institute providing computer skills for youths.[6]

References[edit]
  1. Jump up^ Akam, Simon (13 February 2012). "Akam '09 profiles former African dictator Valentine Strasser". Columbia Journalism School. Archived from the original on 10 December 2013.
  2. Jump up^ Marke, Roland (4 August 2008). "Harvest of Shame: Former Sierra Leonean Ruler Valentine Strasser". World Press Review.
  3. Jump up^ Wazir, Burhan (26 November 2000). "Ousted ruler may face Sierra Leone war crimes court". The Guardian.
  4. Jump up^ Akam, Simon (2 February 2012). "The Vagabond king". New Statesman. Retrieved 15 April 2012.
  5. Jump up^ Otieno, Janet (15 February 2012). "Ex-Sierra Leone president stripped of all power trappings". Africa Review. Retrieved 18 August 2014.
  6. Jump up^ Bankole, Roland (26 March 2012). "Sierra Leone: Retired Captain Valentine M. Strasser breaks his silence". Patriotic Vanguard. Retrieved 18 August 2014.
 
Ungetuwekea kwa kiswahili ingekua bora sana mkuu. sio wote tunaelewa kithungu
 
Tujifunze hiyo lugha ya malkia ili tuweze hata KU-NEGOTIATE NA WAKOLONI KWENYE MAKINIKIA.

ENGLISH HAIEPUKIKI.
 
Kwanini wenyewe wasijifunze kiswahili? tujifunze kwa wenzetu inchi zilizo pigahatuwa CHINA, KOREA, JAPANI, BRAZIL... nawengine. hawa shobokei hizo lugha zakikoloni
 
Mkuu pamoja na Africa kupita katika njia ngumu sana kuelekea demokrasia lakini pia katika njia hiyo tulipata viongozi kadhaa wazuri ambao hawakuingia madarakani kwa njia ya sanduku la kura. Ila kwa bahati mbaya sana viongozi hao hawakudumu madarakani pamoja na nia hao nzuri ya kuwafumikia wananchi wao. Waliondolewa na mabeberu ambao waliona mirija yao ndani ya bara la africa imezibwa. Viongozi hao ni kama Tom Sankara na huyu Valentine Stresser. Wengine waliingia madarakani wakiwa na nia njema ila wakaa madarakani kwa muda mrefu na kujisahau kabisa na kuanza kuwa miungu watu; hawa ni kama akina Col. Gaddafi, Master Sergeant Samwel Doe na sasa tunamuona huyu Yahya Jammeh. Mwisho wa hawa wa kundi la pili huwa mbaya sana. Bado tunasubiria mwisho wa Yahya Jammeh na akina Blaise Compaore.
Naam...mwsho wa Yahya Jameh na Blaise Compaore tumekwishauona tayari kama ulivo tabiri mkuu
 
Hili ni funzo kubwa Sana kwa viongozi na vijana kwa ujumla, ila pia nimependa Sana ujasiri WA Jamaa
 
SIKU tatu baada ya kutimiza umri wa miaka 25 ya kuzaliwa, Valentine Strasser aliweka rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo kabisa duniani. Aprili 29, 1992, Strasser akiwa kijana mwanajeshi mwenye cheo cha kapteni, aliwaongoza wenzake kuvamia Ikulu ya Sierra Leone ambako walimkuta Rais Joseph Saidu Momoh akiwa amejificha ndani ya kabati lililopo bafuni, wakamteka na kumlazimisha kuikimbia nchi yake, naye bila kubisha akachukua helikopta na kutorokea Conakry, Guinea.

Na baada ya Momoh kutorokea Conakry, Strasser alijitangaza kuwa Rais wa Sierra Leone. Aliwaongoza vijana wenzake sita waliofanikisha mapinduzi hayo na kuunda Serikali ya mpito waliyoipa jina la National Provisional Ruling Council (NPRC).

Maisha yakabadilika. Alishakuwa mkuu wa nchi. Na tofauti na matarajio ya wengine, akajikuta akizama kwenye starehe na anasa, kamwe hakuwakumbuka tena raia wake wa Sierra Leone.

Hakuangalia tena miradi ya maendeleo, lakini aliwakwaza wengi zaidi kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya wanajeshi na watumishi wengine wa umma. Akiwa madarakani alifuja almasi ya Sierra Leone.

Rais kijana hakuambiwa kitu, ilikuwa yeye na starehe, starehe na yeye. Hata siku ya Wapendanao `Valentine’s Day’, yaani Februari 14 ya kila mwaka, yeye aliigeuza siku ya mapumziko ya kitaifa, kwa kuwa naye anaitwa Valentine.

Pamoja na mapumziko, siku hiyo ilikuwa na chereko za kila aina, huku ikulu ikiwa na sherehe za kukata na shoka. Alikuwa na mbwembwe nyingi mno, aliyepapatikia wanawake na wakati mwingine kuua hovyo wabaya wake.

Inaelezwa hata siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa muziki katika miondoko ya Reggae duniani, Bob Marley (Robert Nesta Marley), pia aliifanya siku ya mapumziko kitaifa, kutokana na kumhusudu nguli huyo wa muziki aliyeaga dunia Mei 11 mwaka 1981. Alizaliwa Februari 6, mwaka 1945. Kwa ujumla alishaonekana kujisahau na kujiona pengine angeishika nafasi hiyo milele.

Watu wake waliendelea kunung’unika, huku yeye akiponda raha ndani na nje ya bara la Afrika. Hata hivyo, ilipofika Januari 16, 1996, Strasser alipinduliwa madarakani na msaidizi wake, Brigedia Jenerali Julius Maada Bio.

Strasser akakimbilia London, Uingereza ambako aliamua kuingia darasani katika Chuo Kikuu cha Warwick, kilichopo mjini Coventry ambako alianza kusomea Sheria, akisema kiu yake ni kuwa wakili ili aweze kuwatetea Waafrika.

Hata hivyo, ndoto yake iliishia njiani, kwani baada ya mwaka mmoja wa masomo, Strasser alitetereka kiuchumi, alishindwa kulipa ada na kulazimika kuacha chuo. Inaelezwa alishindwa pia kulipa pango la nyumba katika eneo alilokuwa anaishia huko Islington huko Kaskazini mwa London, Uingereza.

Maisha yakawa magumu zaidi, akajikuta akilazimika kuikimbia Ulaya na kurejea Afrika mwaka 1999, akiweka makazi katika mji wa Banjul, Gambia ambako hata hivyo mambo yalimbana mno, akashindwa kulipia hata vibali vya kuishi nchini humo.

Wakati fulani inadaiwa alilazimika kuishi mtaani na kuombaomba, lakini aliposhitukiwa, alitimuliwa ikielezwa pengine alikuwa anapanga kushirikiana na askari wa nchi hiyo kufanya mapinduzi.

Serikali ya Gambia iliamua kumsafirisha kurudi Uingereza mwaka 2000, lakini alikataliwa kuingia nchini humo, hivyo kulazimika kurejea Sierra Leone, hadi mjini Grafton, Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown. Akiwa huko, kwa kuwa hakuwa na fedha wala biashara ya kuisimamia, aliamua kuanzisha chuo kidogo cha kufundishia kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).

Hata hivyo, kutokana na mazingira ya chuo hicho, nacho kikamshinda. Kwa muda mrefu buibui na tandabui ndivyo vilivyoshamiri. Na kutokana na kila kitu kwenda kombo, inaelezwa Strasser mwenye umri wa miaka 50 sasa, aliamua kurudi nyumbani kwa mama yake mzazi aitwaye Beatrice anakolelewa tena, kwa chakula na malazi. Maisha yake kwa sasa ni pombe, yeye na pombe.

Halewi pombe za gharama, bali za kienyeji ikiwa ni pamoja na pombe ya m n a z i . B a a anazo- k u - n y w a hazina chembe y a hadhi ya m t u aliye- w a h i kushika madaraka makubwa katika nchi. Ni mtu wa kawaida mno kijijini kwao, anachukuliwa kama mlevi tu. Hakuna anayeshituka kumuona, zaidi ya kumkwepa pengine kwa kuhofia kuombwa fedha.

Maisha ya Strasser ni magumu mno, na inaelezwa alikimbiwa pia na mkewe Amelia. Kwa sasa Strasser hana marafiki wa uhakika, zaidi ya wamiliki wa baa. Anapuuzwa na kila mtu wakisema kwa kuwa hakuwajali wakati akiwa Rais, basi hastahili heshima yoyote kwa sasa. Pengine huyo ndiye mkuu wa nchi wa zamani zanayeishi maisha duni zaidi kuliko wote duniani.

Kipato kikubwa cha Strasser katika miaka ya hivi karibuni ni fedha kiasi cha dola za Kimarekani 2,000 (Sh milioni 4.2) alicholipwa kama kiinua mgongo chake jeshini. Alipoulizwa hivi karibuni kama ana mpango wa kurudi katika siasa, alikana akisema hana muda huo.

Anatamani kurudi jeshini? “Hapana, sihitaji tena kusikia habari hizo”. Ni kauli ya Strasser akiwa katika baa ya John’s akiwa na rafiki yake na msiri wake mkubwa aitwaye Daniel. Strasser hataki kukumbuka mengi ya nchi yake, lakini anasema hatasahau mafanikio ya timu ya soka ya taifa ya Sierra Leone katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) enzi za utawala wake. Angalau ilifika raundi ya kwanza mwaka 1994 na 1996
 
Enzi zake hakushikika kwa anasa lakini sasa ni ‘kula kulala’ kwa mama yake.

SIKU tatu baada ya kutimiza umri wa miaka 25 ya kuzaliwa, Valentine Strasser aliweka rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo kabisa duniani. Ilikuwa Aprili 29, 1992, Strasser akiwa kijana mwanajeshi mwenye cheo cha kapteni, aliwaongoza wenzake kuvamia Ikulu ya Sierra Leone ambako walimkuta Rais Joseph Saidu Momoh akiwa amejificha ndani ya kabati lililopo bafuni, wakamteka na kumlazimisha kuikimbia nchi yake, naye bila kubisha akachukua helikopta na kutorokea Conakry, Guinea.

Na baada ya Momoh kutorokea Conakry, Strasser alijitangaza kuwa Rais wa Sierra Leone. Aliwaongoza vijana wenzake sita waliofanikisha mapinduzi hayo na kuunda Serikali ya mpito waliyoipa jina la National Provisional Ruling Council (NPRC). Maisha yakabadilika. Alishakuwa mkuu wanchi. Na tofauti na matarajio ya wengine, akajikuta akizama kwenye starehe na anasa, kamwe hakuwakumbuka tena raia wake wa Sierra Leone.

Hakuangalia tena miradi ya maendeleo, lakini aliwakwaza wengi zaidi kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya wanajeshi na watumishi wengine wa umma.

Akiwa madarakani alifuja almasi ya Sierra Leone. Rais kijana hakuambiwa kitu, ilikuwa ni yeye na starehe, starehe na yeye. Hata siku ya Wapendanao `Valentine’s Day’, yaani Februari 14 ya kila mwaka, yeye aliigeuza kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa, kwa kuwa naye anaitwa Valentine.

Pamoja na mapumziko, siku hiyo ilikuwa na chereko za kila aina, huku ikulu ikiwa na sherehe za kukata na shoka. Alikuwa na mbwembwe nyingi mno, aliyepapatikia wanawake na wakati mwingine kuua ovyo wabaya wake.

Inaelezwa hata siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa muziki katika miondoko ya Reggae duniani, Bob Marley (Robert Nesta Marley), pia aliifanya kuwa siku ya mapumziko kitaifa, kutokana na kumhusudu nguli huyo wa muziki aliyeaga dunia Mei 11 mwaka 1981. Bob Marley alizaliwa Februari 6, mwaka 1945.

Kwa ujumla alishaonekana kujisahau na kujiona pengine angeishika nafasi hiyo milele. Watu wake waliendelea kunung’unika, huku yeye akiponda raha ndani na nje ya bara la Afrika. Hata hivyo, ilipofika Januari 16, 1996, Strasser alipinduliwa madarakani na msaidizi wake, Brigedia Jenerali Julius Maada Bio.

Strasser akakimbilia London, Uingereza ambako aliamua kuingia darasani katika Chuo Kikuu cha Warwick, kilichopo mjini Coventry ambako alianza kusomea Sheria, akisema kiu yake ni kuwa wakili ili aweze kuwatetea Waafrika.

Hata hivyo, ndoto yake iliishia njiani, kwani baada ya mwaka mmoja wa masomo, Strasser alitetereka kiuchumi, alishindwa kulipa ada na kulazimika kuacha chuo. Inaelezwa alishindwa pia kulipa pango la nyumba katika eneo alilokuwa anaishi huko Islington, Kaskazini mwa London, Uingereza.

Maisha yakawa magumu zaidi, akajikuta akilazimika kuikimbia Ulaya na kurejea Afrika mwaka 1999, akiweka makazi katika mji wa Banjul, Gambia ambako hata hivyo mambo yalimbana mno, akashindwa kulipia hata vibali vya kuishi nchini humo. Wakati fulani inadaiwa alilazimika kuishi mtaani na kuombaomba, lakini aliposhitukiwa, alitimuliwa ikielezwa pengine alikuwa anapanga kushirikiana na askari wa nchi hiyo kufanya mapinduzi.

Serikali ya Gambia iliamua kumsafirisha kurudi Uingereza mwaka 2000, lakini alikataliwa kuingia nchini humo, hivyo kulazimika kurejea Sierra Leone, hadi mjini Grafton, Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown.

Akiwa huko, kwa kuwa hakuwa na fedha wala biashara ya kuisimamia, aliamua kuanzisha chuo kidogo cha kufundishia kompyuta naTeknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama). Hata hivyo, kutokana na mazingira ya chuo hicho, nacho kikamshinda. Kwa muda mrefu buibui na tandabui ndivyo vilivyoshamiri.

Na kutokana na kila kitu kwenda kombo, inaelezwa Strasser mwenye umri wa miaka 50 sasa, aliamua kurudi nyumbani kwa mama yake mzazi aitwaye Beatrice anakolelewa tena, kwa chakula na malazi.

Maisha yake kwa sasa ni pombe, yeye na pombe. Halewi pombe za gharama, bali za kienyeji ikiwa ni pamoja na pombe ya mnazi. Baa anazokunywa hazina chembe ya hadhi ya mtu aliyewahi kushika madaraka makubwa katika nchi.

Ni mtu wa kawaida mno kijijini kwao, anachukuliwa kama mlevi tu. Hakuna anayeshituka kumuona, zaidi ya kumkwepa pengine kwa kuhofia kuombwa fedha.

Maisha ya Strasser ni magumu mno, na inaelezwa alikimbiwa pia na mkewe Amelia. Kwa sasa Strasser hana marafiki wa uhakika, zaidi ya wamiliki wa baa. Anapuuzwa na kila mtu wakisema kwa kuwa hakuwajali wakati akiwa Rais, basi hastahili heshima yoyote kwa sasa.

Pengine huyo ndiye mkuu wa nchi wa zamani anayeishi maisha duni zaidi kuliko wote duniani. Kipato kikubwa cha Strasser katika miaka ya hivi karibuni ni fedha kiasi cha dola za Kimarekani 2,000 (Sh milioni 4.2) alicholipwa kama kiinua mgongo chake jeshini.

Alipoulizwa hivi karibuni kama ana mpango wa kurudi katika siasa, alikana akisema hana muda huo. Anatamani kurudi jeshini? “Hapana, sihitaji tena kusikia habari hizo”. Ni kauli ya Strasser akiwa katika baa ya John’s akiwa na rafiki yake na msiri wake mkubwa aitwaye Daniel.

Strasser hataki kukumbuka mengi ya nchi yake, lakini anasema hatasahau mafanikio ya timu ya soka ya taifa ya Sierra Leone katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) enzi za utawala wake. Angalau ilifika raundi ya kwanza mwaka 1994 na 1996.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIKU tatu baada ya kutimiza umri wa miaka 25 ya kuzaliwa, Valentine Strasser aliweka rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo kabisa duniani. Aprili 29, 1992, Strasser akiwa kijana mwanajeshi mwenye cheo cha kapteni, aliwaongoza wenzake kuvamia Ikulu ya Sierra Leone ambako walimkuta Rais Joseph Saidu Momoh akiwa amejificha ndani ya kabati lililopo bafuni, wakamteka na kumlazimisha kuikimbia nchi yake, naye bila kubisha akachukua helikopta na kutorokea Conakry, Guinea.

Na baada ya Momoh kutorokea Conakry, Strasser alijitangaza kuwa Rais wa Sierra Leone. Aliwaongoza vijana wenzake sita waliofanikisha mapinduzi hayo na kuunda Serikali ya mpito waliyoipa jina la National Provisional Ruling Council (NPRC).

Maisha yakabadilika. Alishakuwa mkuu wa nchi. Na tofauti na matarajio ya wengine, akajikuta akizama kwenye starehe na anasa, kamwe hakuwakumbuka tena raia wake wa Sierra Leone.

Hakuangalia tena miradi ya maendeleo, lakini aliwakwaza wengi zaidi kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya wanajeshi na watumishi wengine wa umma. Akiwa madarakani alifuja almasi ya Sierra Leone.

Rais kijana hakuambiwa kitu, ilikuwa yeye na starehe, starehe na yeye. Hata siku ya Wapendanao `Valentine’s Day’, yaani Februari 14 ya kila mwaka, yeye aliigeuza siku ya mapumziko ya kitaifa, kwa kuwa naye anaitwa Valentine.

Pamoja na mapumziko, siku hiyo ilikuwa na chereko za kila aina, huku ikulu ikiwa na sherehe za kukata na shoka. Alikuwa na mbwembwe nyingi mno, aliyepapatikia wanawake na wakati mwingine kuua hovyo wabaya wake.

Inaelezwa hata siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa muziki katika miondoko ya Reggae duniani, Bob Marley (Robert Nesta Marley), pia aliifanya siku ya mapumziko kitaifa, kutokana na kumhusudu nguli huyo wa muziki aliyeaga dunia Mei 11 mwaka 1981. Alizaliwa Februari 6, mwaka 1945. Kwa ujumla alishaonekana kujisahau na kujiona pengine angeishika nafasi hiyo milele.

Watu wake waliendelea kunung’unika, huku yeye akiponda raha ndani na nje ya bara la Afrika. Hata hivyo, ilipofika Januari 16, 1996, Strasser alipinduliwa madarakani na msaidizi wake, Brigedia Jenerali Julius Maada Bio.

Strasser akakimbilia London, Uingereza ambako aliamua kuingia darasani katika Chuo Kikuu cha Warwick, kilichopo mjini Coventry ambako alianza kusomea Sheria, akisema kiu yake ni kuwa wakili ili aweze kuwatetea Waafrika.

Hata hivyo, ndoto yake iliishia njiani, kwani baada ya mwaka mmoja wa masomo, Strasser alitetereka kiuchumi, alishindwa kulipa ada na kulazimika kuacha chuo. Inaelezwa alishindwa pia kulipa pango la nyumba katika eneo alilokuwa anaishia huko Islington huko Kaskazini mwa London, Uingereza.

Maisha yakawa magumu zaidi, akajikuta akilazimika kuikimbia Ulaya na kurejea Afrika mwaka 1999, akiweka makazi katika mji wa Banjul, Gambia ambako hata hivyo mambo yalimbana mno, akashindwa kulipia hata vibali vya kuishi nchini humo.

Wakati fulani inadaiwa alilazimika kuishi mtaani na kuombaomba, lakini aliposhitukiwa, alitimuliwa ikielezwa pengine alikuwa anapanga kushirikiana na askari wa nchi hiyo kufanya mapinduzi.

Serikali ya Gambia iliamua kumsafirisha kurudi Uingereza mwaka 2000, lakini alikataliwa kuingia nchini humo, hivyo kulazimika kurejea Sierra Leone, hadi mjini Grafton, Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown. Akiwa huko, kwa kuwa hakuwa na fedha wala biashara ya kuisimamia, aliamua kuanzisha chuo kidogo cha kufundishia kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).

Hata hivyo, kutokana na mazingira ya chuo hicho, nacho kikamshinda. Kwa muda mrefu buibui na tandabui ndivyo vilivyoshamiri. Na kutokana na kila kitu kwenda kombo, inaelezwa Strasser mwenye umri wa miaka 50 sasa, aliamua kurudi nyumbani kwa mama yake mzazi aitwaye Beatrice anakolelewa tena, kwa chakula na malazi. Maisha yake kwa sasa ni pombe, yeye na pombe.

Halewi pombe za gharama, bali za kienyeji ikiwa ni pamoja na pombe ya m n a z i . B a a anazo- k u - n y w a hazina chembe y a hadhi ya m t u aliye- w a h i kushika madaraka makubwa katika nchi. Ni mtu wa kawaida mno kijijini kwao, anachukuliwa kama mlevi tu. Hakuna anayeshituka kumuona, zaidi ya kumkwepa pengine kwa kuhofia kuombwa fedha.

Maisha ya Strasser ni magumu mno, na inaelezwa alikimbiwa pia na mkewe Amelia. Kwa sasa Strasser hana marafiki wa uhakika, zaidi ya wamiliki wa baa. Anapuuzwa na kila mtu wakisema kwa kuwa hakuwajali wakati akiwa Rais, basi hastahili heshima yoyote kwa sasa. Pengine huyo ndiye mkuu wa nchi wa zamani zanayeishi maisha duni zaidi kuliko wote duniani.

Kipato kikubwa cha Strasser katika miaka ya hivi karibuni ni fedha kiasi cha dola za Kimarekani 2,000 (Sh milioni 4.2) alicholipwa kama kiinua mgongo chake jeshini. Alipoulizwa hivi karibuni kama ana mpango wa kurudi katika siasa, alikana akisema hana muda huo.

Anatamani kurudi jeshini? “Hapana, sihitaji tena kusikia habari hizo”. Ni kauli ya Strasser akiwa katika baa ya John’s akiwa na rafiki yake na msiri wake mkubwa aitwaye Daniel. Strasser hataki kukumbuka mengi ya nchi yake, lakini anasema hatasahau mafanikio ya timu ya soka ya taifa ya Sierra Leone katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) enzi za utawala wake. Angalau ilifika raundi ya kwanza mwaka 1994 na 1996
Kwa umri mdogo kama huo kushika madaraka kwanza ni kipawa cha aina yake... Lakini kipawa si lolote kwenye makuzi... Kuna hatua lazima uzipitie naye zikamkuta akiwa rais hivyo hakufanya kosa
Pili ana kipawa na uthubutu wa kujaribu kufanya mambo si mkataji tamaa na alipata kick start ndogo tu anaweza kusimama tena mpaka dunia ishangae

Jr[emoji769]
 
Nikiona haya maisha ya huyu Raisi mstaafu aliyepinduliwa je hawa Viongozi wetu wanafahamu cheo ni dhamana

tapatalk_1541442736210.jpeg
tapatalk_1541442726970.jpeg
tapatalk_1541442649246.jpeg
tapatalk_1541442643017.jpeg
tapatalk_1541442627942.jpeg
wpid-fb_img_1436141577834.jpeg
Pulse-Valentine-Strasser-.jpeg
wpid-img-20150706-wa0117.jpeg
strasser-133x300.jpeg
valentine-strasser.jpeg
downloadfile.jpeg
 
Attachments

  • Pulse-Valentine-Strasser-.jpeg
    Pulse-Valentine-Strasser-.jpeg
    33.6 KB · Views: 56
Aliyekwambia anajutia chochote au uamuzi wowote alioufanya katika maisha yake ni nani? Au wewe umegeuka msemaji wa nafsi yake?
Ndo maana hamuendelei kwa kuishi kwa misemo kusubiri Binadamu xyz ashindwe muanze kucheka, ulishawahi kuona Muhindi anapoteza muda wake kwa ujinga kama huu wenu? Wahindi wako < 200 000 TZ lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi wa JMTZ wewe umekalia kusubiri siku Raisi Magufuli akipata shida ucheke, get a life man, hii Dunia haijaanza lao!
 
Ipo siku yatakukuta ukaambiwa unawashwawashwa au ukapotea wasiojulikana wakakutafta itakua mda umekuacha mbali
 
Aliyekwambia anajutia chochote au uamuzi wowote alioufanya katika maisha yake ni nani? Au wewe umegeuka msemaji wa nafsi yake?
Ndo maana hamuendelei kwa kuishi kwa misemo kusubiri Binadamu xyz ashindwe muanze kucheka, ulishawahi kuona Muhindi anapoteza muda wake kwa ujinga kama huu wenu? Wahindi wako < 200 000 TZ lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi wa JMTZ wewe umekalia kusubiri siku Raisi Magufuli akipata shida ucheke, get a life man, hii Dunia haijaanza lao!
Mkuu unaleta uchochezi sasa,mbona magufuli hajatajwa.
 
Back
Top Bottom