tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
umeona bichwa hilo?
Kinafanana na kifanyio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona bichwa hilo?
utamwona TV1 soon.Anaharibikiaa mandevuu
mbona poa tu na midevu yetu ,huwa tunaitumia wakati wa kufikiri ,kucheza na wajukuu zetu,hata mama watoto akitaka kitu huniomba huku akizivutavuta basi nakuwa mpole tu !na siku nyingine swahiba wangu hamduni akinitembelea watoto huzifunga zangu na za swahiba pamoja na kuzifanya pembea wakati sisi tuko kwenye mazungumzo!mwisho naye kwa kujinanga sasa hiyo midevu kama kashuka leo kutoka makao makuu ya al shabab ndio nini!!!