Mwisho Mwampamba apata kazi kituo kipya cha TV

Mwisho Mwampamba apata kazi kituo kipya cha TV

mwisho naye kwa kujinanga sasa hiyo midevu kama kashuka leo kutoka makao makuu ya al shabab ndio nini!!!
mbona poa tu na midevu yetu ,huwa tunaitumia wakati wa kufikiri ,kucheza na wajukuu zetu,hata mama watoto akitaka kitu huniomba huku akizivutavuta basi nakuwa mpole tu !na siku nyingine swahiba wangu hamduni akinitembelea watoto huzifunga zangu na za swahiba pamoja na kuzifanya pembea wakati sisi tuko kwenye mazungumzo!
 
Back
Top Bottom