Mwisho Mwampamba apata kazi kituo kipya cha TV

Mwisho Mwampamba apata kazi kituo kipya cha TV

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Aliyekuwa mwakilishi wa mara mbili kutoka Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Mwisho Mwampamba ataonekana hivi karibuni kwenye kituo cha runinga cha TV1 kama mtangazaji.

Kupitia Instagram, TV1 wameweka picha hii ya ya baadhi ya wafanyakazi wa TV1 akiwemo Mwisho na kuandika; Guess who’ll be next as [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=tv]#tv 1Host[/URL] [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=tv]#tv 1tanzania[/URL] #comingsoon [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=tv]#tv production[/URL] #tv #tanzania #africa #daressalaam #mikocheni #studios
 
sema hawa wakiwa serious wanaweza kuwapiku wale wengine wa ipp maaana wale wanaringa saaana
 
tv1 ndo itakua namba one life style tv siku zijazo..

viasat 1 noma sana
 
mwisho naye kwa kujinanga sasa hiyo midevu kama kashuka leo kutoka makao makuu ya al shabab ndio nini!!!
 

Attachments

  • 1424314_465016486942004_1076646042_a.jpg
    1424314_465016486942004_1076646042_a.jpg
    4.8 KB · Views: 750
mwisho naye kwa kujinanga sasa hiyo midevu kama kashuka leo kutoka makao makuu ya al shabab ndio nini!!!

hana ndevu huyo. ombea siku unione ndio.utajua ninazo...
 
Back
Top Bottom