respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Na hiyo hakushinda pia alikuwa wa pili wa kwanza alikuwa Uti wa Nigeria Mwisho alikuwa wa pili tena
Wewe ndie Mjinga! Mwisho Mwampamba alikuwa Mshindi wa Pili nyuma ya Mganda Gaetano akala Mzigo huo na tuliokuwa tunakimbiza Mjini miaka hiyo tukampisha kwa muda ale Ray C kama Idrissa anavokula Wema pesa zilivoisha akarudi Moro kama atavorudi Idrissa kwao Arusha akiacha Born town mdogo mdogo wanakula vyao!
Yisambi anafanya kazi wapi?ana u simple gani ni bitoz tu na hiyo kazi unayosema walishakula kichwa zaid ya mwaka kwa sababu ya ulevi hata muda wa kaziKuna tabia inazidi kukuwa ya waTz kupenda wenzao wawe na maisha mabaya au wafulie. Huu mjadala hapa ni ushaidi sielewi ni maisha yamekuwa magumu sana au ni vipi.
Mwisho ajawai kuwa na maisha mazuri ila watu wamempa utajiri pia mwisho ajawai kuwa na maisha ya dhiki ila watu wamempa kufirisika. Mwisho always ana maisha ya kawaida tu na ni mtu simple sana labda kinachowasumbua watu ni ushombe wake wake wakampangia mpaka maisha anayotakiwa kuishi.
Kwa sasa ameamua kukaa pembeni na maswala ya media kwa kuwa ayamlipi, ana familia yake ana ishu zake nyingine anafanya kaamua kuwa baba haswa. Wala ajafulia maisha yake ni yale yale.
Kaka yake Isambe namfahamu pia rafiki yangu alikuwa na mdogo wake marehemu kwa sasa walikuwa wana date so namfahamu kiasi. Ni kama Mwisho mtulivu na yupo simple hana makuu anafanya kazi ya mshahara wa six figures lakini anaenda kazini na baiskeli ilihali wenzake wana magari ya kufuru.
Nafikiri watu mumuelewe tu Mwisho ni watu wapo hivyo kwao wapo simple sana wanaishi kama watu wa uswazi ilihali wamekulia uzunguni forest hill moro na mama yao ni mzungu kabisa ila alishindwa kuwashep waishi kizungu.
Mwisho alishawahi kushinda mil 100??? Maana mwaka wake alishinda mwanadada mzimbabwe au mzambia kama sikosei....mwaka mwingine kama kumbukumbu zabgu zipo sawa alishinda UtiMilioni 100 kwa miaka ile (na hata sasa) unaona si kitu cha kutokea maisha? Acha kumkufuru Mungu!
Nangula Mwampamba ni dada yake?Kuna tabia inazidi kukuwa ya waTz kupenda wenzao wawe na maisha mabaya au wafulie. Huu mjadala hapa ni ushaidi sielewi ni maisha yamekuwa magumu sana au ni vipi.
Mwisho ajawai kuwa na maisha mazuri ila watu wamempa utajiri pia mwisho ajawai kuwa na maisha ya dhiki ila watu wamempa kufirisika. Mwisho always ana maisha ya kawaida tu na ni mtu simple sana labda kinachowasumbua watu ni ushombe wake wake wakampangia mpaka maisha anayotakiwa kuishi.
Kwa sasa ameamua kukaa pembeni na maswala ya media kwa kuwa ayamlipi, ana familia yake ana ishu zake nyingine anafanya kaamua kuwa baba haswa. Wala ajafulia maisha yake ni yale yale.
Kaka yake Isambe namfahamu pia rafiki yangu alikuwa na mdogo wake marehemu kwa sasa walikuwa wana date so namfahamu kiasi. Ni kama Mwisho mtulivu na yupo simple hana makuu anafanya kazi ya mshahara wa six figures lakini anaenda kazini na baiskeli ilihali wenzake wana magari ya kufuru.
Nafikiri watu mumuelewe tu Mwisho ni watu wapo hivyo kwao wapo simple sana wanaishi kama watu wa uswazi ilihali wamekulia uzunguni forest hill moro na mama yao ni mzungu kabisa ila alishindwa kuwashep waishi kizungu.
Mwisho aliwahi pataga mahela?? mwaka gani na alizipatia wapi?
Swali la Rural Swagga hata mimi ningependa kufahamu jibu lake manake kama ni BBA, Mwisho ameshiriki mara mbili na zote hakushinda mbali ya kuwa staa wa mjengoni.wa nchi gani wewe unaeuliza? ulizaliwa mwaka 2012 ama?
100% CORRECT.Mwisho alishawahi kushinda mil 100??? Maana mwaka wake alishinda mwanadada mzimbabwe au mzambia kama sikosei....mwaka mwingine kama kumbukumbu zabgu zipo sawa alishinda Uti
hahaha hii thread inafurahisha sana...Idriss pita ujifunze huku,wema ndo kama ray c..
Idriss wadada wa mjini watamkamuaaa poleh yakehahaha hii thread inafurahisha sana...
Mwisho kakonda! Kwani Namibia vipi?View attachment 335191
Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya kibaguzi. Hii ni siku chache baada ya Baba yao kufariki duniani.
Mwisho alikua mshindi wa pili hakupata mahela. pesa anapewa anayebaki wa mwisho kwenye jumba.Wanagombea urithi baada ya Mzee kufariki nini?...yale mahela hakufanya cha maana,cha kurithi ndo kitakutoa?..