Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

Wewe ndie Mjinga! Mwisho Mwampamba alikuwa Mshindi wa Pili nyuma ya Mganda Gaetano akala Mzigo huo na tuliokuwa tunakimbiza Mjini miaka hiyo tukampisha kwa muda ale Ray C kama Idrissa anavokula Wema pesa zilivoisha akarudi Moro kama atavorudi Idrissa kwao Arusha akiacha Born town mdogo mdogo wanakula vyao!

Mkuu jisikie aibu basi kudanganya halaiki.!

BACK TANGANYIKA
 
mwisho alikuwa wa pili na hakupewa hela,hela alichukua mshindi tu
 
Kuna tabia inazidi kukuwa ya waTz kupenda wenzao wawe na maisha mabaya au wafulie. Huu mjadala hapa ni ushaidi sielewi ni maisha yamekuwa magumu sana au ni vipi.

Mwisho ajawai kuwa na maisha mazuri ila watu wamempa utajiri pia mwisho ajawai kuwa na maisha ya dhiki ila watu wamempa kufirisika. Mwisho always ana maisha ya kawaida tu na ni mtu simple sana labda kinachowasumbua watu ni ushombe wake wake wakampangia mpaka maisha anayotakiwa kuishi.

Kwa sasa ameamua kukaa pembeni na maswala ya media kwa kuwa ayamlipi, ana familia yake ana ishu zake nyingine anafanya kaamua kuwa baba haswa. Wala ajafulia maisha yake ni yale yale.

Kaka yake Isambe namfahamu pia rafiki yangu alikuwa na mdogo wake marehemu kwa sasa walikuwa wana date so namfahamu kiasi. Ni kama Mwisho mtulivu na yupo simple hana makuu anafanya kazi ya mshahara wa six figures lakini anaenda kazini na baiskeli ilihali wenzake wana magari ya kufuru.

Nafikiri watu mumuelewe tu Mwisho ni watu wapo hivyo kwao wapo simple sana wanaishi kama watu wa uswazi ilihali wamekulia uzunguni forest hill moro na mama yao ni mzungu kabisa ila alishindwa kuwashep waishi kizungu.
 
Yisambi anafanya kazi wapi?ana u simple gani ni bitoz tu na hiyo kazi unayosema walishakula kichwa zaid ya mwaka kwa sababu ya ulevi hata muda wa kazi
 
Muacheni Mwisho hajawahi kupata fedha za Bigbrother wengi wetu hatufuatilii huo mchezo tunasikiliza maneno ya watu.Lakini ht angepata je watu huwa hawiishiwi? je hatuwajui matajiri ambao hv ss ht hela ya kula hawana? tuache kubwabwaja kama maisha hatuyajui au siku hizi JF imejaa watoto wa form 2?.
 
Milioni 100 kwa miaka ile (na hata sasa) unaona si kitu cha kutokea maisha? Acha kumkufuru Mungu!
Mwisho alishawahi kushinda mil 100??? Maana mwaka wake alishinda mwanadada mzimbabwe au mzambia kama sikosei....mwaka mwingine kama kumbukumbu zabgu zipo sawa alishinda Uti
 
Kuna tabia inazidi kukuwa ya waTz kupenda wenzao wawe na maisha mabaya au wafulie. Huu mjadala hapa ni ushaidi sielewi ni maisha yamekuwa magumu sana au ni vipi.

Mwisho ajawai kuwa na maisha mazuri ila watu wamempa utajiri pia mwisho ajawai kuwa na maisha ya dhiki ila watu wamempa kufirisika. Mwisho always ana maisha ya kawaida tu na ni mtu simple sana labda kinachowasumbua watu ni ushombe wake wake wakampangia mpaka maisha anayotakiwa kuishi.

Kwa sasa ameamua kukaa pembeni na maswala ya media kwa kuwa ayamlipi, ana familia yake ana ishu zake nyingine anafanya kaamua kuwa baba haswa. Wala ajafulia maisha yake ni yale yale.

Kaka yake Isambe namfahamu pia rafiki yangu alikuwa na mdogo wake marehemu kwa sasa walikuwa wana date so namfahamu kiasi. Ni kama Mwisho mtulivu na yupo simple hana makuu anafanya kazi ya mshahara wa six figures lakini anaenda kazini na baiskeli ilihali wenzake wana magari ya kufuru.

Nafikiri watu mumuelewe tu Mwisho ni watu wapo hivyo kwao wapo simple sana wanaishi kama watu wa uswazi ilihali wamekulia uzunguni forest hill moro na mama yao ni mzungu kabisa ila alishindwa kuwashep waishi kizungu.
Nangula Mwampamba ni dada yake?
 
Mwisho aliwahi pataga mahela?? mwaka gani na alizipatia wapi?
wa nchi gani wewe unaeuliza? ulizaliwa mwaka 2012 ama?
Swali la Rural Swagga hata mimi ningependa kufahamu jibu lake manake kama ni BBA, Mwisho ameshiriki mara mbili na zote hakushinda mbali ya kuwa staa wa mjengoni.

Mbongo ambae alirudi na mamilioni ya BBA ni Richard Bezuidenhout na Idris Sultan!
 
Judi wa Kishua upo very right!! Kwanza hapa nimegundua jambo moja-- majority wanamuhusisha Mwisho na mamilioni ya BBA wakati ile BBA yake ya kwanza ambayo ilimfanya awe maarufu sana mjengoni, ushindi ulichukuliwa na dada mmoja wa Zambia na yeye Mwisho alikuwa ni Runner-up na ile ya All Stars alikuwa evicted cku ya mwisho.
 
View attachment 335191

Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya kibaguzi. Hii ni siku chache baada ya Baba yao kufariki duniani.
Mwisho kakonda! Kwani Namibia vipi?
 
Hivi hakuna Big Brother legacy wale wa kwanza kabisa warudi mjengoni, jamaa afya inaweza rudi
 
Wanagombea urithi baada ya Mzee kufariki nini?...yale mahela hakufanya cha maana,cha kurithi ndo kitakutoa?..
Mwisho alikua mshindi wa pili hakupata mahela. pesa anapewa anayebaki wa mwisho kwenye jumba.
 
Back
Top Bottom