Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

View attachment 335191

Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya kibaguzi. Hii ni siku chache baada ya Baba yao kufariki duniani.
muulize ray c si ndo mkewe.................
 
Kesi hizi zinatakiwa ziishie polisi kwenye dawati la jinsia la kituo cha polisi, huko mahakamani zinalete msongamano tu kwani kuna lundo la mahabusu wanahitaji huduma
Hilo dawati la jinsia linawahusu wanaume wanapogombana?
 
Na Dustan
Shekidele,Morogoro.
Ikiwa takriban siku 40
tangu baba yao, Dk.
Ephraim Njawala
Mwampamba, Mhadhiri
wa Chuo Kikuu cha Kilimo
Cha Sokoine (SUA) afariki
dunia, mwanaye Mwisho
Ephraim Mwampamba
ameburuzwa mahakamani
na kaka yake, Robert
Ephraim
Mwampamba'Ras',
Jumatatu iliyopita.
Kesi hiyo namba 197/2016
ilisikilizwa katika
Mahakama ya Mwanzo
Chamwino iliyopo
Mazimbu mkoani hapa,
ambapo Robert
alimburuza mahakamani
hapo mdogo wake huyo
waliyechangia baba,
akimtuhumu kumtukana
matusi ya nguoni huku
sehemu kubwa ya matusi
hayo yakiwa ya kibaguzi.
Kabla ya kufikishwa
mahakamani hapo,
Mwisho alitokea
mahabusu alikolala kwa
siku moja ambapo baada
ya kesi kusikilizwa, alipata
dhamana huku ikidaiwa
kuwa kesi hiyo imemkalia
vibaya kutokana na
ushahidi unadaiwa upo.
Akisoma kesi hiyo
mahakamani hapo,
Hakimu Amina Chungulu
alidai Mwisho
anatuhumiwa kumtukana
matusi ya nguoni
(hayaandikiki gazetini)
kupitia namba za simu
(tunazihifadhi) ambayo
inaaminika inamilikiwa na
Mwisho Mwampamba.
Mwisho alipoulizwa na
hakimu huyo alikana
kutenda kosa hilo na
Robert alipoulizwa kama
ana ushahidi ndipo
aliposema anao wa meseji
hizo kwenye simu yake.
Hakimu huyo aliahirisha
kesi hiyo hadi Aprili 11,
mwaka huu huku Robert
akitakiwa kufika
mahakamani hapo na
meseji hizo kama
ushahidi.
Aidha, Hakimu Amina
alisema dhamana iko wazi
kwa mshitakiwa;
mdhamini mmoja na
shilingi laki 4 ambapo
kaka mwingine wa Mwisho
aliyezaliwa naye baba
mmoja na mama mmoja,
lsambe alimdhamini
mdogo wake huyo.
 
Daaaaah, jamaa kweli sijui kakosa mshauri hata sielewi. najiuliza kisha najijibu.
 
Watu wametoka kwenye hoja ya msingi wanazungumzia maisha aliyokuwa nayo mwanzo na ndio na mimi nikawahoji kwenye hilo soma mjadala unavyokwenda.
watu wanajitungia swali halafu wanajijibu then wanajisahishia
 
Huyu Ras namfahamu ni jamaa mmoja mtata sana..nadhani watayamaliza nje ya mahakama maana kushare baba ni kitu kizito sana
 
View attachment 335191

Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya kibaguzi. Hii ni siku chache baada ya Baba yao kufariki duniani.
 
Mbona mwisho anazidi kukonda sana, vipi familia yake na yule house mate mwenzake wa BBA
 
Back
Top Bottom