Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu nyie wanaume ma sperm donner,msifikirie kutoa mbegu ni kazi,kazi ipo kwenye kulea.Kama Diamond atashuka kimziki basi muda wake utakuwa umefika.Baba yake wala siyo sababu kabisa.Kama yeye hakumlea mwanae pindi alipomuhitaji iweje leo Diamond amlee.Hata Obama hakutoa chozi alipopigiwa simu baba yake mzazi kafa,ila kaja kuwa Raisi.Laana haipo kwa baba ambae hakukujali pindi ulipomuhitaji
Kama huyo baba yake anapenda damu yake kwa pesa tu ina maana hata huyo daimond akimsaidia kwa sasa na siku diamond akifirisika bado atawakana tu na kwanini huyo diamond alivyokuwa hajafanikiwa baba yake hakumuitaji?? Ebwanae hiyo laana itampata huyo mzee alieikana familia na sio diamond.kumbuka mzazi asieitunza familia ni mbaya kuliko SHETANI na laana ishaanza kumpata huyo mzee kwa ujinga wake alioufanya.Mzee nakushauri nenda itv kamwombe mwanao msamaha ili wazee wenye tabia mbaya kama yako wajifunze kupitia kwake.Hukutumwa na mtu kumtongoza huyo mama ukamzalisha kisha ukajifanya uko bize na wanawake wengine,haya endeleeni kupendana.Unakula ulichopanda mzee na wewe uliendika thread hii usikubali mtu akutumie vibaya bali uwe mshauri mzuri kwa kuwafanya watu wajutie makosa yao.
Usilolijua litakusumbua, Diamond na babake anayejua ni yeye na mama yake. Kama laana za baba yake asingefika alipo sasa. Diamond amefanikiwa sana, na pia kumbuka hamna kitu ambacho kitakuwa juu siku zote. Lazima ushuke siku moja. Wazungu wanasema, it's better to make hay while the sun shines. Nina uhakika Diamond kishafanya hicho kitu. Yaani ameshachuma. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
Kati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini ndugu zangu nataka mfahamu kuwa,mzazi wako ni mzazi wako tu,hata kama ni chizi,hata kama ni katili.
Diamond kazungukwa na kundi la watu wahuni wasiomshauri vyema, alimpatia marehemu Gurumo gari wakati baba yake hana hata baiskeli, huwezi kufanikiwa bila baraka za wazazi wote, kama Diamond anamdharau baba yake wa kumzaa,basi arudi tena kwenye udongo ili akazaliwe na baba atakayekuja kumheshimu. Sasa hivi ameandamwa na mikosi ya kila aina, wajinga wanalaumu watanzania wengine kwa matatizo ya Diamond, wamesahau kuwa kijana huyu kila uchao,baba yake mzazi anasononeka,akimuona mwanae anakula bata wakati yeye hata kula yake ya siku ni shida.
Anguko la Diamond limefika,hana baraka za baba, kwa hiyo hawezi kusonga mbele hata kama taifa zima litamuombea, DIAMOND KAMUANGUKIE BABA YAKO, OR ELSE YOU'RE GONE AWAY.
Hivi Mr nice yupo wapi vile?
Halafu nyie wanaume ma sperm donner,msifikirie kutoa mbegu ni kazi,kazi ipo kwenye kulea.Kama Diamond atashuka kimziki basi muda wake utakuwa umefika.Baba yake wala siyo sababu kabisa.Kama yeye hakumlea mwanae pindi alipomuhitaji iweje leo Diamond amlee.Hata Obama hakutoa chozi alipopigiwa simu baba yake mzazi kafa,ila kaja kuwa Raisi.Laana haipo kwa baba ambae hakukujali pindi ulipomuhitaji
Acha ushabiki maandazi,Platinumz anamheshimu sana babake isipokua hampi pesa wala matunzo yoyote as hata yeye huyo baba mwenyewe hakumpa Diamond matunzo aliyostahili kupata toka kwa mzazi. Mimi hua najiuliza Diamond angekua jambazi,kibaka,mla unga na upuuzi km huo huyo babake angejiibua kweli ama tu ni kwa vile dogo ni Superstar?! Hebu atupishe kule tumechoka makelele yake baba zima kutwa kulilia matunzo toka kwa mtoto utafikiri lenyewe lilitoa hayo matunzo chefuuuuuKati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini ndugu zangu nataka mfahamu kuwa,mzazi wako ni mzazi wako tu,hata kama ni chizi,hata kama ni katili.
Diamond kazungukwa na kundi la watu wahuni wasiomshauri vyema, alimpatia marehemu Gurumo gari wakati baba yake hana hata baiskeli, huwezi kufanikiwa bila baraka za wazazi wote, kama Diamond anamdharau baba yake wa kumzaa,basi arudi tena kwenye udongo ili akazaliwe na baba atakayekuja kumheshimu. Sasa hivi ameandamwa na mikosi ya kila aina, wajinga wanalaumu watanzania wengine kwa matatizo ya Diamond, wamesahau kuwa kijana huyu kila uchao,baba yake mzazi anasononeka,akimuona mwanae anakula bata wakati yeye hata kula yake ya siku ni shida.
Anguko la Diamond limefika,hana baraka za baba, kwa hiyo hawezi kusonga mbele hata kama taifa zima litamuombea, DIAMOND KAMUANGUKIE BABA YAKO, OR ELSE YOU'RE GONE AWAY.
mwaaaaaaaaaa
Kati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini ndugu zangu nataka mfahamu kuwa,mzazi wako ni mzazi wako tu,hata kama ni chizi,hata kama ni katili.
Diamond kazungukwa na kundi la watu wahuni wasiomshauri vyema, alimpatia marehemu Gurumo gari wakati baba yake hana hata baiskeli, huwezi kufanikiwa bila baraka za wazazi wote, kama Diamond anamdharau baba yake wa kumzaa,basi arudi tena kwenye udongo ili akazaliwe na baba atakayekuja kumheshimu. Sasa hivi ameandamwa na mikosi ya kila aina, wajinga wanalaumu watanzania wengine kwa matatizo ya Diamond, wamesahau kuwa kijana huyu kila uchao,baba yake mzazi anasononeka,akimuona mwanae anakula bata wakati yeye hata kula yake ya siku ni shida.
Anguko la Diamond limefika,hana baraka za baba, kwa hiyo hawezi kusonga mbele hata kama taifa zima litamuombea, DIAMOND KAMUANGUKIE BABA YAKO, OR ELSE YOU'RE GONE AWAY.
Kutotoa chozi kwa Obama haihalalishi kuwa wote tusitoe machozi pindi tupatapo tatizo linalofanana.
Nyerere alisema jambo la kipumbavu likiongelewa kwa lugha ya kiingereza watu ulishangilia.

kwa siku unaweza ukatoa mbegu kwa wanawake tofauti hata mara 10,sio kazi hata kidogo.ila kumlea mtoto hadi aje ajitambue na kujitegemea ni kaziSio kweli kuwa kutoa mbegu ni kirahic kiivyo ..lol
Hujanielewa kabisa,ni kwamba connection ya baba na mtoto inaanzia toka mtoto akiwa mdogo na makuzi yake akiwa karibu na baba yake,Mtoto akishakuwa mtu mzima kama baba yake hakumjali akiwa mdogo,asitegemee huyu mtu atakuwa na mapenzi kwa baba yake.hiyo ni kwa binadamu yoyote yule,nimetolea Obama kama mfanoKutotoa chozi kwa Obama haihalalishi kuwa wote tusitoe machozi pindi tupatapo tatizo linalofanana.
Nyerere alisema jambo la kipumbavu likiongelewa kwa lugha ya kiingereza watu ulishangilia.
Hahaaaaaaa kubakwa tena???
jana kwenye Fiesta wakati kapanda jukwaani alikua anazomewa na mamluki huku watu wakitaja Ali Kiba...
Ali Kiba yeye alivyopanda alikua anashangiliwa mwanzo mwisho... ko kilichompata jana ni hizo Booooooo za wananchi