Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

vigezo vya nani bora kwa duniani ni nani kauza zaidi ya mwenzake sio nani kazomewa /kashangiliwa zaidi ya mwenzake sasa kati ya hawa nani kauza zaidi ya mwingine? ? maana unaweza ukazomea/kushangilia lakini nyimbo zao hununui kama msanii unampenda utanunua kazi zake leo almasi ana t shirt kibao zinavaliwa huyo mwingine zake sizioni so acheni kelele tuambiane ukweli nani anauza zaidi??? nani bidhaa zake zinanuliwa kwa wingi (mfano t shirt) nani ana tuzo nyingi? ??(za ndani na injection) hivi ndo vigezo zingine zote ni kelele tu
 
Kati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini ndugu zangu nataka mfahamu kuwa,mzazi wako ni mzazi wako tu,hata kama ni chizi,hata kama ni katili.

Diamond kazungukwa na kundi la watu wahuni wasiomshauri vyema, alimpatia marehemu Gurumo gari wakati baba yake hana hata baiskeli, huwezi kufanikiwa bila baraka za wazazi wote, kama Diamond anamdharau baba yake wa kumzaa,basi arudi tena kwenye udongo ili akazaliwe na baba atakayekuja kumheshimu. Sasa hivi ameandamwa na mikosi ya kila aina, wajinga wanalaumu watanzania wengine kwa matatizo ya Diamond, wamesahau kuwa kijana huyu kila uchao,baba yake mzazi anasononeka,akimuona mwanae anakula bata wakati yeye hata kula yake ya siku ni shida.

Anguko la Diamond limefika,hana baraka za baba, kwa hiyo hawezi kusonga mbele hata kama taifa zima litamuombea, DIAMOND KAMUANGUKIE BABA YAKO, OR ELSE YOU'RE GONE AWAY.

Mawazo yako hayo...ila unatakiwa ujue huyo diamond si chizi ma baba wengi wasiojielewa wana tabia hizo za kutelekeza watoto na kuwaachia kina mama mzigo wote....sasa kwann asimthamin mama ake aliemlea kwa shida? leo huyo baba ake ndo anajitilisha huruma inahusu!
 
Back
Top Bottom