Watu mnabisha tu hapa!....ukweli utabaki palepale. ...mi huwa sifuatilii san hizo bongo fleva....naongea tu hali halisi
Wengi tu wamepitia maisha ya aina hyo!
Hyo dai whether amefanikiwa au la
Whether kawa superstar o not anachotakiw yy ni kumuomba Mungu aweze kumsamehe huyo baba ake! Coz kusamehe sio rahisi kila unapokumbuka machungu!
Coz blv mi o nt utachuma/uta-hustle hizo mali ht kwa miaka 20 siku 1 tu isiyo na jina utapoteza vyote halafu utaanza kutafuta mchawi...mzazi ni mzazi ht km kakosea yy amsamehe tu inatosha
dawa ya moto ni moto na wanaume woote wajifunze katika hili
michael ESSEN wa chelsea, mario balotel nawapongeza sana kwa kuwatelekeza baba zao waliowatelekeza utotoni