Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

Nimekupenda bure!
Tell them
.....halafu wanafikiri eti kuna baraka hata km mzazi ndo mwenye kosa bado haibadirishi kuwa ni mzazi na baraka zake zipo palepale

Watu hupenda kuishi kwa mazoea.....na baadhi ya wanawake wanawalisha watoto sumu kali sana ili chuki izidi.
 
Haters wa Diamond wamekazana ile mbaya kumwaga viroja.... eti Domo ndo keshaisha.... eh! Yaani mtu kati kati ya mafanikio, tuzo za kumwaga... international nomination ndo hizo tena, halafu mnadadi Diamond kaisha.... aaaaargh, kisa? Nyimbo moja ya Mwana-Dar es salaam!
 
huyo baba alikua wapi wakati diamond alipokua Tandale akiuza mitumba na vocha...!!! leo kafanikiwa ndio baba unajitokeza? hakuna laana inayompata mtoto kutoka kwa baba aliyemtelekeza. Yanayomkuta diamond ni ya kawaida, katika maisha kuna kupanda na kushuka. ulitaka diamond awe juu hadi anaingia kaburini ndio useme hana laana ya baba. Tunapata kila mtu kwa wakati wake, hapati mmoja tu siku zote
 
Ebu wachane hao wapumbavu wanamchukia mshkaji bila hata ya sababu kisa hao ni makapuku mbwa kachoka hawaingizi hata mia mwenzao Mungu kambariki wanatamani afe wafanye sherehe huyo kiba enyewe akifika level za diamond watamchukia pia waanze kumsifia Mr. blue. Sasa nimejua kwann watz ni maskini wa kutupwa
 
I've never been diamond's fan... Lakini tangu hiyo juzi nimeamini kuwa watz sio ndugu zako. Ukifanya yako usiwawaze watz. Hawata-imbrace mafanikio yako. Watakuporomosha mfe wote. Ukifanya yako kimataifa, Peperusha bendera yako. F**k watz na bendera yao.
 
Mwenzenu AY msanii mwenye mafanikio bongo yupo USA na Mshkaji wake Sean king stone

Nyie pigeni kelele baba ubaya na baba wolper🙂🙂🙂🙂
 
Watanzania tuna shida kubwa sana,atukubali vipaji vya watu kazi yetu kubwa ni kupiga domo......leo hii zunguka duniani kama utamuona CFO,vice president au senior executive katika any fortune 500 companies,tuje kwenye michezo na sanaa ivi kuna mbongo anacheza ligi yoyote kubwa ya mpira ama kaigiza japo movie moja hollywood, jibu ni hakuna........nimeshawai ishi nchi moja asia,wanakubari vipaji vya watu na kuadmire sana.leo hii watu wa taifa ilo la asia ni ma CEO wa makampuni kama PEPSI,microsoft na n.k pia ni waigizaji wazuri mpaka hollywood.mtu kama amita bachan birtday yake watu wanafurika kuzungunga nyumba yake,mchezaji kama wa cricket ww unaweza ona kama uzushi kule ni bonge la star ata kupiga nae picha shida
 
Ebu wachane hao wapumbavu wanamchukia mshkaji bila hata ya sababu kisa hao ni makapuku mbwa kachoka hawaingizi hata mia mwenzao Mungu kambariki wanatamani afe wafanye sherehe huyo kiba enyewe akifika level za diamond watamchukia pia waanze kumsifia Mr. blue. Sasa nimejua kwann watz ni maskini wa kutupwa

nilishasema wanaomchukia diamond ni mafukara wenye wivu na mafanikio yake..
 
I've never been diamond's fan... Lakini tangu hiyo juzi nimeamini kuwa watz sio ndugu zako. Ukifanya yako usiwawaze watz. Hawata-imbrace mafanikio yako. Watakuporomosha mfe wote. Ukifanya yako kimataifa, Peperusha bendera yako. F**k watz na bendera yao.

......but again,as u said,hatu appreciate talents,na i suspect ile ni evil calculated move ya klauzi ya kumshukisha makusudi
 
huyo baba alikua wapi wakati diamond alipokua Tandale akiuza mitumba na vocha...!!! leo kafanikiwa ndio baba unajitokeza? hakuna laana inayompata mtoto kutoka kwa baba aliyemtelekeza. Yanayomkuta diamond ni ya kawaida, katika maisha kuna kupanda na kushuka. ulitaka diamond awe juu hadi anaingia kaburini ndio useme hana laana ya baba. Tunapata kila mtu kwa wakati wake, hapati mmoja tu siku zote
Tena na muulize huyo anayempigania baba ake Diamond leo hii, je alimpigania Diamond alipotoswa na babake?
 
Ndomo kwisha habari yake.
Mi nilisema angemfunika Mwana ningetembea uchi kutoka relini hadi kimboka kujisevia malaya.
 
Halafu nyie wanaume ma sperm donner,msifikirie kutoa mbegu ni kazi,kazi ipo kwenye kulea.Kama Diamond atashuka kimziki basi muda wake utakuwa umefika.Baba yake wala siyo sababu kabisa.Kama yeye hakumlea mwanae pindi alipomuhitaji iweje leo Diamond amlee.Hata Obama hakutoa chozi alipopigiwa simu baba yake mzazi kafa,ila kaja kuwa Raisi.Laana haipo kwa baba ambae hakukujali pindi ulipomuhitaji

Well said my dia
 
Mbaya zaidi hajui mamake alimkosea nn babake had akawaacha..
Wanawake sio watu jamani,ngoja aoe atajua tu

Sasa hata km mamake alimkosea au alimchukiza ndo alipize kisasi mpaka kwa watoto wake mwenyewe kwa kutowapatia matunzo?
 
......but again,as u said,hatu appreciate talents,na i suspect ile ni evil calculated move ya klauzi ya kumshukisha makusudi

Inawezekana... Na ndio maana siamini mtu. Hata vitabu vya dini vinasema mpende jirani yako. Havijaandika trust your neighbour
 
Back
Top Bottom