Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Wadau,
Ukiangalia leo Youtube chanel na mitandao mingi ya kigeni hasa Marekani na Europeans countries wanaonesha kuwa dalili zote za mwisho dunia zimefika, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi, vita vuguvugu za N.Korea vs America na UN ,Kimbunga kilichoambatana na mvua kali.

Wana Jamii vip huku kwetu au sis tupo dunia nyingine na hatutaguswa maana hii habari haijatrend sana hapa Africa.



Nibiru, or Planet X as it is also known, is heading towards Earth and will be visible in the skies from September 23, according to conspiracy theorists.

Christians and non-believers alike are convinced that the apocalyptic planet will destroy life on Earth, and the signs are in the Bible.

Another passage from the Bible is doing the rounds, which points to a “star” called Wormwood that falls from the sky.

Revelation 8:10-11 says: "The third angel blew his trumpet, and a great star fell from heaven, blazing like a torch, and it fell on a third of the rivers and on the springs of water. The name of the star is Wormwood.”


End of the world September 23: Nibiru is ‘mentioned in the Bible as Wormwood’
Kwa hiyo?
 
Mpaka lile chukizo la uharibifu lifikapo, Ndipo ule mwisho utafika, though ni soon but sio kwa propaganda kama hizo.
 
Kwa kuwa mzungu kaandika wewe huna cha kujiongeza!!! changanya na zako mkuu!!

unakumbuka miaka ya 2000 au ulikuwa bado unanyonya, ule uvumi wa mwisho wa dunia sitousahau ulisabisha bibi yangu akauza na kula mali zote akitegemea mwisho wa dunia ni kesho cha kushangaza mpaka leo yupo anadunda mtaani maisha yanaendelea!!!
Mkuu miaka ya 2000 nilikua mkubwa sana aisee
 
naona weekend imeanza hivi😀 weekend haijawahi kumuacha mtu salama
 
Ni kweli kabisa!!! Kama una pesa benki nitumie Kwani utaziacha, nikusaidie tule chapchap kwa huu mda uliobaki, tutaenda dunia nyingine.
 
Mwisho wa dunia serikari itagawa pipi kwa kila mtu..
Pipi filimbi
Pipi maziwa
Pipi kidonge
Pipi kifua
Na aina zote za pipi ivory

Wahi kwenye foleni kesho tar 23, serikal imejipanga vema
 
Hizi habari za kibwege za Nibiru sijui planet X kila mwaka zipo mwaka ukipita wanasubiri unaofuata wanazileta tena.
Mkuu kama maisha yamekuwa magumu kiasi cha kutaka kufa usitake kufa na wengine we fanya kujiua mwenyewe kwa sumu, au jirushe mbele ya gari au jinyonge.
 
Kwa kuwa mzungu kaandika wewe huna cha kujiongeza!!! changanya na zako mkuu!!

unakumbuka miaka ya 2000 au ulikuwa bado unanyonya, ule uvumi wa mwisho wa dunia sitousahau ulisabisha bibi yangu akauza na kula mali zote akitegemea mwisho wa dunia ni kesho cha kushangaza mpaka leo yupo anadunda mtaani maisha yanaendelea!!!
Huyo atakuwa ni Dada yako sio bibi yako
 
Back
Top Bottom