Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Kwa hiyo?
 
Mpaka lile chukizo la uharibifu lifikapo, Ndipo ule mwisho utafika, though ni soon but sio kwa propaganda kama hizo.
 
Mkuu miaka ya 2000 nilikua mkubwa sana aisee
 
naona weekend imeanza hivi😀 weekend haijawahi kumuacha mtu salama
 
Ni kweli kabisa!!! Kama una pesa benki nitumie Kwani utaziacha, nikusaidie tule chapchap kwa huu mda uliobaki, tutaenda dunia nyingine.
 
Mwisho wa dunia serikari itagawa pipi kwa kila mtu..
Pipi filimbi
Pipi maziwa
Pipi kidonge
Pipi kifua
Na aina zote za pipi ivory

Wahi kwenye foleni kesho tar 23, serikal imejipanga vema
 
Hizi habari za kibwege za Nibiru sijui planet X kila mwaka zipo mwaka ukipita wanasubiri unaofuata wanazileta tena.
Mkuu kama maisha yamekuwa magumu kiasi cha kutaka kufa usitake kufa na wengine we fanya kujiua mwenyewe kwa sumu, au jirushe mbele ya gari au jinyonge.
 
Huyo atakuwa ni Dada yako sio bibi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…