Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 subiri USA ifike 23 September, maana huko sahiv bado 8pm,Leo saa ngapi?
Hutaki kwenda kwa baba?Namshukuru Mungu Nimeamka salama kabisa.
Mungu hapangiwi nipe Schedule ya leo maana hata huku kwetu tunatamba..[emoji120]Huku kwetu mwisho wa dunia bado.....sijui kwingine.
Jamani tumrudie mungu
Hahahaa...that's yo Yah PossehMbona serikali hawajatuwekea mishahara yetu, kila MTU afe na chake?
Hata hiyo bible hamuielewi, ktk bible Jesus alikiri kwamba siku ya mwisho hata yeye haijui anajua Mungu tu sasa mnaleta story za kuhisi.. itakuwa hallucinations za bhangi hizoWadau,
Ukiangalia leo Youtube chanel na mitandao mingi ya kigeni hasa Marekani na Europeans countries wanaonesha kuwa dalili zote za mwisho dunia zimefika, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi, vita vuguvugu za N.Korea vs America na UN ,Kimbunga kilichoambatana na mvua kali.
Wana Jamii vip huku kwetu au sis tupo dunia nyingine na hatutaguswa maana hii habari haijatrend sana hapa Africa.
Nibiru, or Planet X as it is also known, is heading towards Earth and will be visible in the skies from September 23, according to conspiracy theorists.
Christians and non-believers alike are convinced that the apocalyptic planet will destroy life on Earth, and the signs are in the Bible.
Another passage from the Bible is doing the rounds, which points to a “star” called Wormwood that falls from the sky.
Revelation 8:10-11 says: "The third angel blew his trumpet, and a great star fell from heaven, blazing like a torch, and it fell on a third of the rivers and on the springs of water. The name of the star is Wormwood.”
End of the world September 23: Nibiru is ‘mentioned in the Bible as Wormwood’
Mwisho wa dunia bado tu?Wadau,

Utakua saa ngapi?Wadau,

Bado Albadil haijaamza kufanya kazi[emoji1]Waanze kufa waliotaka kumuua tundu lissu halafu sisi ndio tufuate
Sure! Point takenIla ni vzur tutumie hizi habar kujikumbusha kuna mwisho wa dunia...
Kiduku akilipua mabomu 200 tu ya nyukilia dunia inapinduka juu kuwa chin[emoji1] [emoji1]Mwisho wa dunia hauji kwa njia ya dunia kugongana na sayari nyingine. Hiyo planet x ni kimondo kikubwa. Vimondo vitaanguka sana tu Lakini si vya kuiangamiza dunia hata itetereke kutoka katika misingi yake ambao Mungu aliiweka. Ondoeni hofu Mungu yuko katika kontroo.( everything is under GOD'S control fear not.).