Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Mkuu nimejiunga cha wiki jana tuu..Huko utaenda pekeyako

Na ukienda huko usisahau kutupa mrejesho

Nobody can predict the future. You just have to give your all to the relationship you're in and do your best to take care of your partner, communicate and give them every last drop of love you have. I think one of the most important things in a relationship is caring for your significant other through good times and bad.

♤Nick Cannon

Mwisho wa dunia hauji kwa njia ya dunia kugongana na sayari nyingine. Hiyo planet x ni kimondo kikubwa. Vimondo vitaanguka sana tu Lakini si vya kuiangamiza dunia hata itetereke kutoka katika misingi yake ambao Mungu aliiweka. Ondoeni hofu Mungu yuko katika kontroo.( everything is under GOD'S control fear not.).

Revelation 8:10-11 says: "The third angel blew his trumpet, and a great star fell from heaven, blazing like a torch, and it fell on a third of the rivers and on the springs of water. The name of the star is Wormwood.”

mbona kama hii sentensi ipo kwenye past tense?

mbona kama hii sentensi ipo kwenye past tense?
Revelation ni kitabu cha msimuliaji na aghlabu msimuliaji hutumia past tense na ktk mukhtadha wa kithiolojia hiyo ni prophecy kamili ukisoma sura zote utaelewa!

Mwisho wa dunia hautokuja kama wanavyoeleza hao wazungu.Wanaweza kubashiri watu wa maandiko matakatifu na sio hao wazungu na telescope zao.

MKUU NISHAANDIKAGA POST KAMA HII NIKAPIGWA MADONGO NA MAVUMBI SANA.Me binafsi ni mchunguzi sana nikapataga habari hii hii..[emoji116][emoji116][emoji116]

Wakuu poleni na shughuli za hapa na pale kwa siku ya leo. Kwa waislamu wote niwatakie sikukuu njema ya Eid ell-Hajj.

Nijikite kwenye mada iliyonipandisha jukwani kwa siku ya leo ni juu ya uwepo wa habari mbalimbali zinazoendelea kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii na website mbalimbali zikielezea kuwepo kwa mwisho wa dunia tarehe 23 na 21 mwezi huu 2017.

Pia manabii wakubwa wameelezea tukio hilo litakavyokuwa, mimi binafsi siamini habari hizi coz mwaka 2012 zilizushwa tena habari kama hizi mbali na hapo hakuna anayejua siku wala saa,so nimeamua kuleta habari hii/uzi huu ili tushirikishane na kujadiliana ipo vip hii.[ Mathayo 24:3-34] .

PICHA HIZI HAPA[emoji116][emoji116][emoji116]
ba0230ce93ece1eed9b7180be2597ee3.jpg
f3d6675fb885e23ca56f8a03656d2fd1.jpg
eef92c511162cbd344f16f221bf54ba3.jpg
070dac350e52fb19e01fc72b30a9f5a3.jpg
b8be2f9d04db4d0bbfa7cc47d534ff8b.jpg
0efa846636c027e91e8fa527d225581e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Wadau,
Ukiangalia leo Youtube chanel na mitandao mingi ya kigeni hasa Marekani na Europeans countries wanaonesha kuwa dalili zote za mwisho dunia zimefika, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi, vita vuguvugu za N.Korea vs America na UN ,Kimbunga kilichoambatana na mvua kali.

Wana Jamii vip huku kwetu au sis tupo dunia nyingine na hatutaguswa maana hii habari haijatrend sana hapa Africa.

Nibiru, or Planet X as it is also known, is heading towards Earth and will be visible in the skies from September 23, according to conspiracy theorists.

Christians and non-believers alike are convinced that the apocalyptic planet will destroy life on Earth, and the signs are in the Bible.

Another passage from the Bible is doing the rounds, which points to a “star” called Wormwood that falls from the sky.

Revelation 8:10-11 says: "The third angel blew his trumpet, and a great star fell from heaven, blazing like a torch, and it fell on a third of the rivers and on the springs of water. The name of the star is Wormwood.”

End of the world September 23: Nibiru is ‘mentioned in the Bible as Wormwood’

Kaka kuna kitu labda watu hawajakielewa, ni kuwa hiyo tarehe 23 Sept sio mwisho wa Dunia bali kuna tukio kubwa linaweza kutokea Duniani na hii yote inatokana na tafsiri ya kitabu cha ufunuo,
Uf 12: 1
Kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. Palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake! 2 Alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto. 3 Ishara nyingine ikatokea mbinguni: joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji. 4 Joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. Nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa. 5 Kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma

Hebu naomba tuanzie hapa,
Kwa mujibu wa Astrologers ni kuwa kuna ZODIAC SIGNS (nyota) kumi na mbili na miongoni mwa hizo nyota (Zodiac sign) ni Virgo, ambayo wanainasibisha na mwanamke VIRGIN, na inapochorwa angani inakuwa kama mtu mwenye mikono miwili na miguu miwili

Na kwa muda wa miezi nane Sayari ya Jupiter ilikuwa inaonekana kama iko ndani (Mimba) ya Muunganiko wa nyota zinazotengeneza Virgo, na hiyo Sayari ya Jupita itatoka kwenye group la nyota hizo za Virgo siku ya Tarehe 23Sept (baada ya kuwa ndani ya group la nyota hizo kwa miezi Tisa) na itatoka kupitia kwenye hiyo miguu ya Group la nyota zinazotengeneza Virgo (sasa hapo hao wataalamu wa Nyota ndipo wanaposema kuwa Bikira anazaa mtoto)

Lakini pia ili kunathibisha hayo maandiko ya ufunuo 12 ni kuwa, hiyo siku ya tarehe 23 Sept, Mwezi utakuwa exactly kwenye miguu ya hiyo Virgo na Jua litakuwa juu ya Virgo pembeni upande wa kulia, na juu ya hiyo Virgo kutakuwa na Nyota 12, ambazo zitakuwa nyota tisa Zinazoform zodiac sign ya LEO, lakini pia kutakuwa na sayari tatu za Mercury, Mars na Saturn so ukichukua Nyota hizo tisa za LEO na hizo Sayari tatu utapata nyota 12
So hapo ndilo hilo andiko "Litakapo timia" yaani Virgni (Virgo), mimba (Jupita), Mwezi (miguuni), Jua (Begani), nyota 12 (Leo 9+Mercury+Mars+Saturn)
Dalili kubwa ni Bethlehem Star, ni Ile nyota iliyoonwa na Mamajusi 3 waliokuja kuzungumzia habari za uzao wa King kwa Herode, ile nyota huwa inaonekana mara maada ya 2000 yrs na ndio inaonekan kwa sasa (Astrologers+Astronomers) na ukiitrace back kabla ya Yesu ilionekana wakati wa Ibrahim

All in all sio kwamba mwisho wa Dunia umefika, ila Watu wanaopredict wanahisi kuwa kwa sign zinavyoonekana kwa sasa basi kuna posibility ya kitu kikubwa kutoea hiyo 23 Sept 2017

c62ea9c03e28373d82768bb4bdbfe6cb.jpg

Jiwe kubwa zaidi kuwahi kupita karibu na dunia katika kipindi cha karibu karne moja linatarajiwa kupita karibu na sayari ya dunia umbali wa karibu maili milioni 4.4 , kimesema kituo cha masuala ya anga za juu cha Marekani, Nasa.

Vipimo vya Florence vilikadiria umbali wa maili 2.7 sawa na kipenyo cha 4.4 na kwamba jiwe hilo halina tisho kwa dunia kwa karne zijazo

Mawe mengine yaliyowahi kupita karibu na dunia, yalikadiriwa kuwa ni madogo sana.
Mawe hayo ambayo yana umbo la vifusi upande wa kushoto ni masalia yaliyobaki wakati wakuundwa kwa jua na sayari.

Jiwe la Florence - lililogundulika mnamo mwaka 1981- linaweza kuwa mara 18 ya wastani wa umbali baina ya dunia na mwezi.

"Florence ni jiwe kubwa zaidi kuwahi kupita karibu na dunia yetu tangu kuanzishwa kwa mpango wa shirika la anga za mbali la Marekani NASA wa kuchunguza na kubaini mawe yaliyopo karibu na dunia ," Amesema Paul Chodas, meneja wa kituo cha NASA kinachochunguza vitu vilivyopo karibu na dunia katika taarifa yake.

Ugunduzi wa mwaka 2017 ni wa jiwe la angani lililopo karibu tangu mwaka 1890 na ukaribu huo hautawahi kutokea hadi baada miaka 2500, shirika la masuala ya anga la Marekani limeongeza.

Mpango wa wanasayansi kuchunguza ukaribu wa jiwe, kwa kutumia mtambo wa rada wa ardhini unafanyika California na Puerto Rico.

Wataalam wa a

Siku ya mwisho, hamtaweza kupeana taarifa kama hizi. Mtakuwa busy na maisha yenu tu.
Tutakuja kushtuka mambo yakiwa yashaharibika.
Siku hiyo watatupa fedha kwenye njia la hakuna mtu atakayeziokota kila mtu akilia apate uzima btw Well said mkuu

yani siku hio hakuna atakaejua maana ata malaika hawana taarifa na ingekuwa hivyo waliotaka kumtoa tundu lisu roho si watatubu

Mkuu niko holiday Nadi Fiji
Ni tarehe 23-09-2017. Saa mbili asubuhi.
Jua tamu, hali ya hewa tulivu kabisa.

Back
Top Bottom